Hivi mnawezaje kukopa aiseh? Mbona kama kunatisha?

navigator msomi

Senior Member
May 8, 2018
156
167
Habari ya mihangaiko wakuu, straight to the point..leo katika kukosa kazi nikaona sio mbaya nitembee na salary slip kuona ni kwa jinsi gani ninatembea na utajiri mfukoni.

Nikimaanisha kiwango ambacho naweza kukopa benk hasa kwa muda mrefu..hii sio mara yangu ya kwanza kwenda benki kukopa imekua mara yangu ya pili for the first time miaka kama sita nyuma nilienda moja ya benki zetu pendwa na nikachukua mkopo wa miaka kama miwili hivi, nikiri niliona mbona simple tu coz interest yao ilkua kidogo mnoo..

Sasa leo tena nikasema wacha nitembelee tena ila nilichokutana nacho mpaka akili ikagoma zunguka..

Benk ya kwanza ilkua CRDB, hapo wakasema kama nitachukua mkopo kwa miaka saba nitakatwa kiasi kisichopungua 264000/= per month. Halafu cash itaingia around 12,300,000/= baada ya makato yao cjui bima na processing fee.

Baada ya kupiga nikaona kwa muda huo watanikata si chini ya million 25 (261000*12*7). Kwahyo nitakua nimewatengenezea faida si chini ya million 10 kwa miaka saba tu.

Nmb nako mambo yakawa hayo hayo tena ikazidi kama million moja na ushee..nimekaa chini nimewaza watu huwa wanaeema maisha ya utumishi bila kukopa hautoboi sa mbona naona kama kukopa ndio kuna mdudumaza mtymishi?

Maana kwa hesabu ya haraka haraka hiyo riba ya milion 10+ kwaajili ya kupata million 11 naona kama ni unyonyaji mkubwa sana.

Sasa nyie wadau mnaokopa na nyie mnakopa kwenye hizi hizi benk? Au kuna mahari mnapata hizo pesa. Na je hizi interest nyie mnakubaliana nazo au inakuajee...

Sent from my V2111 using JamiiForums mobile app
 
kama huna biashara au cha kufanyia ili ikuingizie chochote kitu acha kukopa maana haitoshi kujenga
kumbuka umekaa na hela ya benk miaka saba, hata kama riba ni asilimia 5 lazima itakuwa kubwa
unataka kukopa kwa ajili ya nini
 
Habari ya mihangaiko wakuu, straight to the point..leo katika kukosa kazi nikaona sio mbaya nitembee na salary slip kuona ni kwa jinsi gani ninatembea na utajiri mfukoni.

Nikimaanisha kiwango ambacho naweza kukopa benk hasa kwa muda mrefu..hii sio mara yangu ya kwanza kwenda benki kukopa imekua mara yangu ya pili for the first time miaka kama sita nyuma nilienda moja ya benki zetu pendwa na nikachukua mkopo wa miaka kama miwili hivi, nikiri niliona mbona simple tu coz interest yao ilkua kidogo mnoo..

Sasa leo tena nikasema wacha nitembelee tena ila nilichokutana nacho mpaka akili ikagoma zunguka..

Benk ya kwanza ilkua CRDB, hapo wakasema kama nitachukua mkopo kwa miaka saba nitakatwa kiasi kisichopungua 264000/= per month. Halafu cash itaingia around 12,300,000/= baada ya makato yao cjui bima na processing fee.

Baada ya kupiga nikaona kwa muda huo watanikata si chini ya million 25 (261000*12*7). Kwahyo nitakua nimewatengenezea faida si chini ya million 10 kwa miaka saba tu.

Nmb nako mambo yakawa hayo hayo tena ikazidi kama million moja na ushee..nimekaa chini nimewaza watu huwa wanaeema maisha ya utumishi bila kukopa hautoboi sa mbona naona kama kukopa ndio kuna mdudumaza mtymishi?

Maana kwa hesabu ya haraka haraka hiyo riba ya milion 10+ kwaajili ya kupata million 11 naona kama ni unyonyaji mkubwa sana.

Sasa nyie wadau mnaokopa na nyie mnakopa kwenye hizi hizi benk? Au kuna mahari mnapata hizo pesa. Na je hizi interest nyie mnakubaliana nazo au inakuajee...

Sent from my V2111 using JamiiForums mobile app
Mikopo yote popote ni KAUSHA DAMU. Kinachofanyika ni kujiripua tu. Hakuna namna.
 
sisi wakulima haituhusu hii. wafanyakazi wenzako watakujulisha
 
Back
Top Bottom