Hivi mnataka mpendejwe?

Ninao wa 4 mwingine naongeza karibia na ramadhani
Hahahahaha, mbona utamaliza dunia? Umeona kumbe kuongeza mke sio dawa eeh? Manake ingekuwa ni dawa mbona unazidi kuongeza kila siku? Walivyokuwa wawili bado tu hawakukuheshimu? Na wakati walikuwa wanajuana?
 
Mi ndo kidume heshima ipo tena mara dufu sasa hivi mi nadeka nagombaniwa leo nilale kwa mke yupi nagombaniwa kupikiwa msosi
 
Wacha niondoke zangu,kawaida huwa nakunywa ndovu,leo ntapiga konyagi iliyochanganywa na amarula kisha ntajua la kufanya. nshachoka mimi.
 
Susy kumwuliza mumeo kwa nini kakujia nyumbani sa 10 za usiku ni mapungufu?? Huyu shemu kakasirishwa pengine hasira anaziangushia kwa Wifi yetu. Mi sikubali bana.

teh teh teh!!!!!!!! hakusubiri nione juhudi zako mama
 
swali. Huyo wa ramadhani unaongeza wa nini?

Special kwa ajili ya futari mwezi mtukufu.

Alafu hivi ni kwa nini nyie wanawake kabla ya kuolewa huwa mnakuwa wanyenyekevu sana mkisha fika ndani mnakuchunjua makucha yenu kwa nini hivi?
 
Wacha niondoke zangu,kawaida huwa nakunywa ndovu,leo ntapiga konyagi iliyochanganywa na amarula kisha ntajua la kufanya. nshachoka mimi.

Usije ukamuumiza binti wa watu tafadhari hiyo mixer noma Bishanga akisimama mpaka kesho hiyo
 
Special kwa ajili ya futari mwezi mtukufu.

Alafu hivi ni kwa nini nyie wanawake kabla ya kuolewa huwa mnakuwa wanyenyekevu sana mkisha fika ndani mnakuchunjua makucha yenu kwa nini hivi?
Si wapike hao wanne?
 
hahahahaha. Hiyo yote ni kutengeneza njia ya kumfanya mtu atangaze ndoa. Ukishanioa kapige mswaki. Hutaki?
utakaona kadada kabla kukaowa, kwenye majambozz kanakulamba mpaka nywele za kwapa, ukishakukaowa, ukitaka denda tu kanajifanya "loooh babu hebu kapige mswaki kwanza unanuka ugoro" . khaaaa! Tumuogopeni mungu jamani
 
Hee kumbe upo? Yan kdogo nijitoe Jf kwa vile ulipotea ghafla. Huagi? Eti naambiwa ulivyoona MS karudi ukaugua?
Nilihuzuria Royal Wedding kidogo. Nilishangaa kuona hata William na Kate kumbe wanaielewa JF. wanakusalimieni sana.
 
hahahahaha. Hiyo yote ni kutengeneza njia ya kumfanya mtu atangaze ndoa. Ukishanioa kapige mswaki. Hutaki?
hii ni kusema wanawake ni sawasawa na CCM, kabla uongozi/ndoa ma ahadi kibao, wakishakupata uongozi/ndoa lambada linaanza. dah!
 
Kwa tabia hizi mnafikiri tutawataka, bora twende na vibabu vya kizungu hata vinatusikiliza kuliko nyie mnakuja usiku hamtaki kuulizwa, huko bar mnakaa kaa na vimada mkiulizwa vita, ahaha nimechoka, eti mwingine anashauri utafute nyumba ndogo imekula kwenu, ningemuona huyo mkeo ningempa dili la kupata mzungu ndio ungejua. Weka namba ya simu ya huyo mkeo alete na picha uone mambo. Acheni hizooo zimepitwa na wakati. Mke au mume kila mmoja natakiwa kupewa heshima, Acha mfumo dume. Tena endeleeni tu, tutawawekea na mazamu ya kufua kupika na kunyonyesha we ngoja. eti unampa kila kitu sijui gari watoto unatunza sijua full tank WHAT IS THAT? Alitoka kwao kwa ajili yako sio vitu. Mbona vitu tunaweza kutafuta tu. kwa kwa vile tunawaheshimu bana. KATAFUTE NJIA YA KUELEWANA NA MKEO ACHA UONEVU. NIKIMUONA TU NAMPA DILI LA MMBABU WA KIZUNGU.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom