Mkuu wa chuo
JF-Expert Member
- Feb 3, 2011
- 7,608
- 5,269
poulsen katufikisha kwenye michuano ya kufuzu kombe la Africa na Dunia, huyo wa Zambia kawafikisha Fainali ya Africa na wakachukua ubingwa!
Katika kumtafuta mrithi wa Marcio Maximo Kocha wa Zambia Herve Renard aliomba kuifundisha Taifa Stars lakini TFF wakasema hakidhi vigezo (hana qualification), ikabidi wamuajiri Poulsen. Tujiulize, je huyu Poulsen katufikisha wapi na huyu Herve Renard "the chosen one" au Mourinho wa Africa amewafikisha wapi Chipolopolo? Nawasilisha.
Tatizo laTanzania sio kocha bali mfumo tulio nao sio wakutengeneza teaminayoweza kuleta ushindani kokote mfumo wetu unaruhusu wahuni kuingia katika team kubwa na hatimae taifa sasa leo Bongo hata akija Mourinho bado tutakuwa kichwa cha mwendawazimu

2mekataa dhahabu,almas na tanzanite 2mekubal mawe ya bara2ni na kokoto za jangwani!Fool n rubbish country, TANZANIAAAAA................!
Tatizo laTanzania sio kocha bali mfumo tulio nao sio wakutengeneza teaminayoweza kuleta ushindani kokote mfumo wetu unaruhusu wahuni kuingia katika team kubwa na hatimae taifa sasa leo Bongo hata akija Mourinho bado tutakuwa kichwa cha mwendawazimu
Katika kumtafuta mrithi wa Marcio Maximo Kocha wa Zambia Herve Renard aliomba kuifundisha Taifa Stars lakini TFF wakasema hakidhi vigezo (hana qualification), ikabidi wamuajiri Poulsen. Tujiulize, je huyu Poulsen katufikisha wapi na huyu Herve Renard "the chosen one" au Mourinho wa Africa amewafikisha wapi Chipolopolo? Nawasilisha.
Du kali hiyo tena CCM hata Tenga naye kaleta mambo ya chama kweli akinya Bata kaharisha ila kuku kanya je tanzania tungeshinda mngesema chama gani?U-ccm ndio umetumaliza kila idara hapa nchini. utakuta hata kocha anachukuliwa toka nchi wahisani kwani ata kama hajui lolte ili wahisani hao warudishe pesa kupitia mlango wanyuma.atalipwa pesa nyingi mwisho wa siku ataondoka kama alivyokuja na pesa kibao
Du kali hiyo tena CCM hata Tenga naye kaleta mambo ya chama kweli akinya Bata kaharisha ila kuku kanya je tanzania tungeshinda mngesema chama gani?