Hivi Mkuu wa Wilaya anaweza kumfuta kazi Mkurugenzi wa Wilaya?

mkuu wa wilaya ana uwezo wa kufukuza kazi ana recommend tu biashara imeaisha ukihurumiwa waweza pelekwa ofisi yeyote ukaenda kusoma magazeti hadi kustaafu.Sijapenda ile arrogance alyoonyesha mkrugenzi bosi akifoka huwezi kucheka.Na ni kosa kuchelewa eneo la shughuli.Yaani kiprotokali mkurugenzi kuchelewa ina maana yeye apokelewe na mkuu wa wilaya !!!! Ilitakiwa yeye mkurugenzi awahi mkuu wa wilaya ndie achelewe.ningekuwa mimi mkuu wa wilaya masaa 24 ndani yangemhusu huyo mkurugenzi na kesho yake ningetamka wazi ama abaki yeye mimi niondoke au afungashwe virago mimi nibaki
 
Yaani hapo ni sawa na kusema mtendaji wa kata amfute kazi mratibu kata (afisa elim kata kwa sasa) kitu ambacho hakiwezekani, kuwapa mamlaka ya kusimamia usalama wa wilaya watu wahuniwahuni kama akina Muro ambao hawajui ata nini wanatakiwa kufanya kulingana na nafasi zao, madhara yake ndo hayo ya kupandisha mzuka mbele ya media huku akitaman amfukuze kazi yule DED, kitu ambacho ni sawa na kuvunja jiwe kwa ngumi. ndo maana ata DED alicheka kwa dharau mpaka muro akajishtukia kuwa jamaa kamdharau
Kile kicheko cha dharau cha mkurugenzi kitamgharimu mark my words,Mkuu wa wilaya ndie raisi wa wilaya na amiri jeshi mkuu wa wilaya ndio maana askari wa majeshi yote wilayani humpigia saluti mkuu wa wilaya sio mkurugenzi.Ajiandae.
 
Nafahamu kwamba wote hawa ni wateule wa Rais , lakini inapotokea sintofahamu miongoni mwao Mkuu wa Ulinzi na Usalama wa Wilaya anaweza kumuondosha kazini Mkurugenzi wa Wilaya ?

Pichani : Ni kiongozi wa jamhuri isiyofahamika akitangaza majina ya wateule wake mbele ya waandishi wa habari .
unapenda maswali ya kichokozi: Refer DC kahama
 
mkuu wa wilaya ana uwezo wa kufukuza kazi ana recommend tu biashara imeaisha ukihurumiwa waweza pelekwa ofisi yeyote ukaenda kusoma magazeti hadi kustaafu.Sijapenda ile arrogance alyoonyesha mkrugenzi bosi akifoka huwezi kucheka.Na ni kosa kuchelewa eneo la shughuli.Yaani kiprotokali mkurugenzi kuchelewa ina maana yeye apokelewe na mkuu wa wilaya !!!! Ilitakiwa yeye mkurugenzi awahi mkuu wa wilaya ndie achelewe.ningekuwa mimi mkuu wa wilaya masaa 24 ndani yangemhusu huyo mkurugenzi na kesho yake ningetamka wazi ama abaki yeye mimi niondoke au afungashwe virago mimi nibaki
unadhani mamlaka za juu zitakubaliana na upuuzi wa Jerry kwa vile tu ni DC ?
 
Kile kicheko cha dharau cha mkurugenzi kitamgharimu mark my words,Mkuu wa wilaya ndie raisi wa wilaya na amiri jeshi mkuu wa wilaya ndio maana askari wa majeshi yote wilayani humpigia saluti mkuu wa wilaya sio mkurugenzi.Ajiandae.
Aaah wap, angekuwa mkuu wa mkoa sawa, mkuu wa wilaya hawezi kumwajibisha DED, ukiangalia kosa lenyewe la kawaida sn kiasi cha mtu yeyote kulifanya ata yeye muro anaweza kulifanya, pale busara tu ndo ilitakiwa kutumika hapakuwa na sababu ya muro kufoka mbele ya vyombe vya habari kwa kosa la kipuuzi kama lile, ukizingatia na mkuu wa mkoa alikuwa pale, yaani ni sawa na kwamba waziri amfokee katibu mkuu wa wizara yake mbele ya rais kitu ambacho kwa kiongozi mwenye hekima hawezi kufanya hivyo.
 
Hivi Jerry amepata wapi hirizi hadi kuteuliwa DC ? hafai hata kuwa mlinzi wa godown la mkaa .
 
Mkurugenzi amejitahidi asijibishane nae lakini yeye anataka wajibishane.Wakurugenzi awali sifa yao ilikuwa Shahada ya Pili yaani Masters.Mkurugenzi hajamcheka yeye anadai anacheka ati anamdharau haya yakifanyika mbele ya waongozwa lugha sahihi ni inferiority complex
 
Baadhi ya viongozi wa awamu ya Tano wanatuaibisha Kama nchi ukiangalia DC muro anavyochemka utadhani gangwe Yuko bar mi nadhani mamlaka zilizowateua ziiwasaidie ethics kupunguza show zao . Mkurugenzi nae ni mtu mkubwa kwa nafasi yake kumfokea mbele ya anaowaongoza sijui Kama ina Afya hata kidogo nadhani kuna namna ya kunyoosheana vidole bila kiwango mbele ya wanaoongozwa
Kuongoza wilaya/mkoa yampasa kiongozi awe na back ground ya uongozi. Hizi sio nafasi za kufanyia majaribio. Mwalimu aliewahi kupewa ualimu ukuuna akaweza kuiweka sawa staff yake,unaweza kumwamini kuwa aweza kuwa na maadili. Mtu hajawahi kuongoza sehemu yoyote.....usemaji wa club ikumbukwe si uongozi bali ni usema ovyo...sasa mtu huyu kumpa uongozi ni kumuonea. Mi nafikiri asilaumiwe.
Kwa mtoa mada,jibu ni BIG NO,DC ni mteule kama DED na wote hawa hakuna kati yao anaewajibuka kwa mwenzake.
Kukoromeana ni kuelewa zaidi JD zao kuliko inavyotakiwa hivyo kusababisha waharibu hata kazi zao.
 
Anaweza kumchongea kwa JPM akafukuzwa, kwa mgongo wa yeye kuwa Mwenyekitiki wa ulinzi na usalama (amiri jeshi) na mkuu (raisi) wa wilaya!

Ila sababu ni lazima zikubalike katika akili za JPM,
Mfano..
kwamba kamtangaza mpinzani kuwa kashinda uchaguzi.
 
Zile swaga za kujiita/kuitwa "Rais wa Wilaya" zimewapumbaza akili na wanadhani wanaweza kumfukuza kazi yeyote yule
 
Jeri Muro ni usalama yule

Soi kwamba alienda kufnya kazi kwa bhati mbaya tbc alinda kwa kazi maalum

Angalia alipoenda yanga kwa kazi mqalumu uliona kilichofuata kwa manji baada ya yeye kuondoka pale

Jifikilie kesi ya pingu iliishaje kwanini akufungwa na kipindi hicho watu walikuwa wakimtetea

Sitoshamga nikisikia pia arumeru kaondolewa kapelekwa kwingine
Wabongo bana kila mjinga mjinga ni usalama...
 
Kile kicheko cha dharau cha mkurugenzi kitamgharimu mark my words,Mkuu wa wilaya ndie raisi wa wilaya na amiri jeshi mkuu wa wilaya ndio maana askari wa majeshi yote wilayani humpigia saluti mkuu wa wilaya sio mkurugenzi.Ajiandae.
Putz
 
Nafahamu kwamba wote hawa ni wateule wa Rais , lakini inapotokea sintofahamu miongoni mwao Mkuu wa Ulinzi na Usalama wa Wilaya anaweza kumuondosha kazini Mkurugenzi wa Wilaya ?

Pichani : Ni kiongozi wa jamhuri isiyofahamika akitangaza majina ya wateule wake mbele ya waandishi wa habari .
Ndio anaweza lakini kwa awamu hii ya tano tu ambayo hata waliomwimbia kura mkuu wanaisoma namba!
 
Back
Top Bottom