Hivi Mkurugenzi mmoja wa halmashauri kukaa kituo kimoja kwa zaidi ya miaka 3 hakuwezi kuwa sababu ya kutengeneza ufisadi?

Nimekuwepo kwenye utumishi wa umma huu mwaka 4 sasa katika halmashauri moja huku mkoani Morogoro.Tangu nilipofika katika halmashauri hii 2020 nilimkuta mkurugenzi ambaye tayari alikuwepo hapa tangu 2018.

Kwa muda huu wa miaka 3 ambao nimekuwepo hapa,nimeona na kusikia dili nyingi za kifisadi zikifanyika kupitia mtandao wa maafsa waliotengenezwa na mkurugenzi huyo ili kupitisha dili chafu. Mbinu anayotumia kuwateka maafsa hao ni pamoja na kuwatengenezea mazingara magumu ya kiutendaji na kimaslahi, huku akiwajengea uoga kwa kuwakaripia na wengine kutowapa majukumu yao ya kiofisi kabisa.Haya mambo aliyafanya kwa muda wa kati ya mwaka 1 hadi 2 kwa mujbu wa watumishi niliowakuta hapo,na kwa wale waliojishusha na kukubali kupelekwapelekwa kwa matakwa yake,ndiyo baadae walikuja kuwa njia ya kupitisha dili zake chafu mpaka leo.

Mimi kwa ushuhuda wangu mwenyewe nimethibitisha kupitia Afsa usafirisha wa halmashauri ambaye yeye alibaki na msimamo wa kufuata kanuni na taratibu za kazi yake,akiewekwa pembeni na na nafasi yake kupewa Afisa mmoja wa elimu msingi,yeye mwenye taaluma yake amekuwa msoma magazeti ofisini bila ya jukumu lolote mwaka wa 2 huu sasa.

Kwa kupitia TO wa mchongo,pesa kuanzia za matengenezo ya gari,mafuta,vipuri n.k zinapigwa na magari ni mabovu siku zote.Utaratibu wa kisheria wa ukaguzi wa magonjwa ya gari na matengenezo haufuatwi tena na gari zinatengenezwa mitaani kwa gharama ndogo huku zimetolewa pesa nyingi.

Wito wangu ni kwa Rais Samia, asijiamini kwamba huku chini pako vizuri na kumbe ndiyo kunaufisadi mkubwa unaosababishwa na hawa wakurugenzi kwa kukaa halmashauri moja muda mrefu na kupelekea kutengeneza cheni za upigaji.

Kifupi ufisadi ni janga kubwa kwa sasa.
Wakurugenzi wana akili kuliko Huyo mama.wacha waibe tu
 
Hayo Mambo yenu ya ndani wafanyakazi wake ata siyajui,nadhan mna vikao vya ndani, mkae myaongee myamalize.

Jamaa mbona msikivu sn, japo ubabe Kias flan anao pale akitaka kuforce jambo lake.

Binafs nmeongelea general view Kwa niliyoyasikia na kwa jinsi nilivofanya nae kazi na navomjua.

Ila takwimu za performance yake kiujumla hazidanganyi,ndo maana kaaminiwa kukaa pale MDA mrefu hivo
Bandiko pia limeongelea mambo ya ndani na siyo general.
 
Kwako wewe ni sawa dereva muajiriwa hanyimwe gari ila ndugu yake asiye muajiri na wala hana mkataba apewe gari?.
Ndo maana nikasema hayo Ni Mambo yenu ya ndani,mkae myazungumze wenyewe.

Ukumbuke mkurugenzi ndio mwajiri mkuu wa halmashaur, Unaweza hisi Hana mkataba,kumbe keshamjazisha tayar mkataba na faili tayar liko ofsin kwake katulia nalo anawaskilizia tu mnavopayuka.

Ukiingia mashindano,ukaweka ligi na boss wako, jua unayeumia Ni wee na wategemez wako.

JITAHIDI KUISHI NAE KWA AKILI MKUU
 
Bandiko pia limeongelea mambo ya ndani na siyo general.
Boss level hizo Hawez hamishwa au tumbuliwa kwa Mambo yenu ya ndani.

Uyo Jamaa anawapeleka puta watumishi Hadi sisi raia wa kawaida tunajua kua mmekalia kaa la Moto na mnanyooshwa haswa.

Maana jamaa akiwepo ofsn mnavibrate,
Na ubaya Zaid kagawa hadi namba zake kwa raia na wafanyabiashara wote. 24hrs ukipiga Simu yake response Yake iko chap mno.

Mtumish usipokuepo ofsin,husikilizi wananchi,unalewa hovyo,unaomba rushwa kifala,unanyanyasa watu,milolongo kibao na nakadakwa. Aisee UMEKWISHA
 
S
Bila shaka
Unamzungumzia Engineer Stephano B. Kaliwa,

mkurugenz halmashaur ya mlimba, Yuko pale tangu 2018 Kama skosei

Jamaa Ni mchapakazi sana na mzalendo Sana. Ukiwa na shida pale ofsin hata usiku au wikendi Hana noma anaweza kuja kukuhudumia kiroho Safi mpk unaridhika.

Mbali ya Malalamiko ya mtoa mada,

Ukiangalia vzur kitakwimu,
halmashaur Yake bado ni changa ila inakimbiza balaa kimapato mkoa mzima wa moro ikizidiwa TU moro mjini.

Jamaa Ni Mbunifu wa vyanzo vya mapato,Ni msikilizaji mzur wa wawekezaji wa mpunga na maliasili, japo Kuna MDA anazingua ktk ubunifu wa tozo zake ila yote Ni Katika kujenga.

Ni msikilizaji mzuri,mnaweza muita mezani mkayazungumza akalegeza au kufuta kabisa tozo husika.

Pia kielimu,
halmashaur yake japo Ni changa,
Ila inaongoza Sana kufaulisha level zote kuanzia std4,std7 na form iv kwa mkoa mzima wa moro ikizidiwa TU na manispaa ya Moro.

Jamaa kawapa malengo na mikataba waalimu ya kufaulisha, wanaofaulisha na utoa motisha MBALIMBALI. Ukifelisha utatakiwa kujieleza.

Halmashaur ya jamaa
shule kibao za kata tena ndani ndani huko hata miundombinu ni Changamoto Ila zishafuta division sifuri form 4.
Unabisha kaangalie matokeo ya necta.

Wafanyakazi wengi wa halmashaur ile hawampendi jamaa maana jamaa haendekezi uzembe, ukizingua unawajibishwa pale pale, anaziara kibao za kushtukiza, hajakukuta kazini utapaswa kujieleza. Jamaa anasikiliza sn wananchi na wadau wa maendeleo.

Jamaa hataki kuskia urasimu wa Aina yoyote pale halmashaur, ukienda unahudumiwa chap unaondoka zako.
Vile vibahasha vya kihuni huni na urasimu Kama zamani wafanyakaz wanaanza kuringa na kukuhudumia wanavojiskia pale halmashaur kwake hamna kabisa.

Jamaa akiwepo ofsn huwez kuona mtumish yoyote pale halmshauri anazubaa au kukuchelewesha foleni,mteja unahudumiwa vzur mpk unaridhika unaondoka zako.

Pia wafanyakaz wengi wanamsagia kunguni Ili ahamishwe ili aje mwngn, waweze kurelax, na Kupiga madili yao.

Pia watumish wengi hawapapendi mlimba kule sababu Ni pori na Chaka sana,kila anaeajiriwa kule anataka kuhama kuhamia halmashaur za mijini.

jamaa anabana hataki, umeajiriwa ufanye kazi nchini Tanzania, Kama upataki mlimba-mazingira ni mabaya.
unataka Nani Sasa akakae uko mlimba?

Falsafa ya jamaa Ni hataki kuhamisha wafanyakazi, otherwise una solid evidence.
Watumish wabaki vituo vyao vya kazi wachape kazi halmashaur bado changa ile ipate mapato ya kutosha iweze kujiendesha na kukua.

KITU AMBACHO KWA JICHO LA KIMAENDELEO,JAMAA YUKO SAHII SANA.
Sawa injinia Stephano Kaliwa naona umekuja kujipakulia minyama kama yote.

Kuchapa kazi sio kigezo kwamba hahujumu pesa za serikali. Wewe unamtetea kwa kuwa labda ni mteja wako huko dukani kwako ila wanaofanya nae kazi kindakindaki hapo halmashauri ndio wanamjua vizuri
 
Nnachokijua watumishi wengi wa halmashaur nyng nchini wanavojiona miungu watu hawawezi kumpenda boss mchapakazi Kama yule.

Mkuu,
Nmefanyakazi na halmashaur nyng,
Ila halmashaur ya jamaa na KAHAMA ndo halmashaur pekee nchini na ambazo Unaweza kua na tatizo usiku.

Ukampigia Simu mkurugenz, akakuskiliza akaacha usngz wake na akaja ofsin au site kushughulikia Tatizo lako mpk ukaridhika.

Pia ndo halmashaur pekee nmeona zinatafuta wawekezaji wa ndani zenyewe na ukifika unanyenyekewa.

Jamaa mwaka Juz kafata wawekezaji wa kilimo dar, kawagawia mapori kibao matupu wakodishwe walime kwa ridhaa ya serikali ya Kijiji ili kuongeza mzunguko wa fedha kwenye halmashaur Yake.

Katafuta wawekezaji wa vifaa vya kilimo matrekta,mbolea n.k na kuwaunganisha na wakulima.

Imagine mkulima mkubwa mkurugenzi anakudhamini pembejeo unakopeshwa kwa dhamana ya shamba lenye mazao yako tu. Cha muhimu uaminifu wako TU.
Unalipa marejesho baada ya kila msimu wa kilimo. Very simple

Halmashaur nyngn hayo yote mpk uhangaike mwnyw, utoe rushwa kibao na ubembeleze sana na urasimu mwngi ili angalau uweze kufanya investment kwa amani.
 
Ndio

Jamaa mwaka Juz kafata wawekezaji wa kilimo dar, kawagawia mapori kibao matupu wakodishwe walime kwa ridhaa ya serikali ya Kijiji ili kuongeza mzunguko wa fedha.

Katafuta wawekezaji wa vifaa vya kilimo matrekta,mbolea n.k mkulima mkubwa mkurugenzi anakudhamini unakopeshwa kwa dhamana ya shamba lenye mazao yako tu. Cha muhimu uaminifu wako TU.

Halmashaur nyngn hayo yote mpk uhangaike mwnyw, utoe rushwa kibao na ubembeleze sana na urasimu mwngi ili angalau uweze kufanya investment kwa amani.
Ndio maana unamsifia kwasababu una manufaa nae
 
Huyo Mkurugenzi kakaa kwa muda mrefu inawezekana ni mlipaji mzuri wa Malimbuko na fungu la Kumi katika madhabahu ya Chamwino.
Sio kweli,
nadhan jamaa kakaa pale kimkakati aijenge ile halmashaur maana bado Ni changa, ukzingatia jamaa Ni engineer.

Ile halmashaur ilianzishwa awamu ya magu mwishon mwishon kabla hajafa nadhan.

Na Katika top 5 ya halmshaur Bora nchini and fastest growing by numbers, ya jamaa iko speed sana
 
Ndo maana nikasema hayo Ni Mambo yenu ya ndani,mkae myazungumze wenyewe.

Ukumbuke mkurugenzi ndio mwajiri mkuu wa halmashaur, Unaweza hisi Hana mkataba,kumbe keshamjazisha tayar mkataba na faili tayar liko ofsin kwake katulia nalo anawaskilizia tu mnavopayuka.

Ukiingia mashindano,ukaweka ligi na boss wako, jua unayeumia Ni wee na wategemez wako.

HII NCHI HAIJAWAHI KUA FAIR HATA KIDG

JITAHIDI KUISHI NAE KWA AKILI MKUU
Hii ndiyo shida yetu watz.Yaani wewe ukiwa mnufaika wa ubadhirifu wa kiongozi fulani,basi unaidhinisha kila uchafu wa huyo kiongozi kuwa sawa.
Sasa hayo uliyoyashauri yafuate,yapo katika KANUNI NA SHERIA zipi za utumishi wa UMMA?.
 
Boss level hizo Hawez hamishwa au tumbuliwa kwa Mambo yenu ya ndani.

Uyo Jamaa anawapeleka puta watumishi Hadi sisi raia wa kawaida tunajua kua mmekalia kaa la Moto na mnanyooshwa haswa.

Maana jamaa akiwepo ofsn mnavibrate,
Na ubaya Zaid kagawa hadi namba zake kwa raia na wafanyabiashara wote. 24hrs ukipiga Simu yake response Yake iko chap mno.

Mtumish usipokuepo ofsin,husikilizi wananchi,unalewa hovyo,unaomba rushwa kifala,unanyanyasa watu,milolongo kibao na nakadakwa. Aisee UMEKWISHA
Una roho ya kimasikini sana mkuu!.
 
Ndio

Ndio maana unamsifia kwasababu una manufaa nae
Sio nna manufaa nae,

Ni kwamba Anafanya alichostahili kufanya
Sio unakua mkurugenzi Jina TU,upo upo ofsin umekaa kazi kusaini makaratasi TU.

Jamaa Ni mfano wa kuigwa.
Hizo changamoto zenu watumish wake kaeni nae myazungumze, huku mtaani tunamuelewa balaa

Nyongeza pia,
Ndo mkurugenz pekee ambae watendaji wake wa kata/vijiji wanafanya kazi na wenye itikadi za upinzani (chadema n.k)bila chuki Wala kukomoana.

Sehemu nyngn ukienda,
Mtendaji na serikali ya Kijiji mnaelewana vzur wanakupa eneo unaanza kazi.

Ghafla uko site unaona maandamano wananchi wanakufanyia fujo wamehamasishwa na diwani wao wamkatae mwekezaji

Au pengine wakiona una itikadi za upinzani huruhusiwi kuwekeza,au ukiwekeza wanakufanyia figisu kibao wanakuharibia
 
Bila shaka
Unamzungumzia Engineer Stephano B. Kaliwa,

mkurugenz halmashaur ya mlimba, Yuko pale tangu 2018 Kama skosei

Jamaa Ni mchapakazi sana na mzalendo Sana. Ukiwa na shida pale ofsin hata usiku wa manane au wikendi Hana noma ukipigia anaweza kuja kukuhudumia kiroho Safi mpk ukaridhika.

Mbali na ya Malalamiko ya mtoa mada,

Ukiangalia vzur kitakwimu,
halmashaur Yake bado ni changa ila inakimbiza balaa kimapato mkoa mzima wa moro ikizidiwa TU moro mjini.

Jamaa Ni Mbunifu mno wa vyanzo vya mapato,Ni msikilizaji mzur wa wawekezaji wa mpunga na maliasili, anabembeleza wawekezaji, anagawa Hadi Mashamba bure Watu walime mzunguko wa pesa uwepo.

japo Kuna MDA anazingua sn ktk ubunifu wa tozo zake ila mnyonge mnyongeni yote Ni Katika kujenga. Ni msikivu na msikilizaji mzuri,mnaweza muita mezani mkayazungumza akalegeza au kufuta kabisa tozo husika mkaendelea kufanya kazi.

Pia kielimu,
halmashaur yake japo Ni changa,
Ila inaongoza Sana kufaulisha level zote kuanzia std4,std7 na form iv kwa mkoa mzima wa moro ikizidiwa TU na manispaa ya Moro.

Jamaa kawapa malengo na mikataba waalimu ya kufaulisha, wanaofaulisha na utoa motisha MBALIMBALI. Ukifelisha utatakiwa kujieleza.

Halmashaur ya jamaa
shule kibao za kata tena ndani ndani huko hata miundombinu ni Changamoto Ila zishafuta division sifuri form 4.
Unabisha kaangalie matokeo ya necta.

Wafanyakazi wengi wa halmashaur ile hawampendi jamaa maana jamaa haendekezi uzembe, ukizingua unawajibishwa pale pale, anaziara kibao za kushtukiza, hajakukuta kazini utapaswa kujieleza. Jamaa anasikiliza sn wananchi na wadau wa maendeleo.

Jamaa hataki kuskia urasimu wa Aina yoyote pale halmashaur, ukienda unahudumiwa chap unaondoka zako.
Vile vibahasha vya kihuni huni na urasimu Kama zamani wafanyakaz wanaanza kuringa na kukuhudumia wanavojiskia pale halmashaur kwake hamna kabisa.

Jamaa akiwepo ofsn huwez kuona mtumish yoyote pale halmshauri anazubaa au kukuchelewesha foleni,mteja unahudumiwa vzur mpk unaridhika unaondoka zako.

Pia wafanyakaz wengi wanamsagia kunguni Ili ahamishwe ili aje mwngn, waweze kurelax, na Kupiga madili yao.

Pia watumish wengi hawapapendi mlimba kule sababu Ni pori na Chaka sana,kila anaeajiriwa kule anataka kuhama kuhamia halmashaur za mijini.

jamaa anabana hataki, umeajiriwa ufanye kazi nchini Tanzania, Kama upataki mlimba-mazingira ni mabaya.
unataka Nani Sasa akakae uko mlimba?

Falsafa ya jamaa Ni hataki kuhamisha wafanyakazi, otherwise una solid evidence.
Watumish wabaki vituo vyao vya kazi wachape kazi halmashaur bado changa ile ipate mapato ya kutosha iweze kujiendesha na kukua.

KITU AMBACHO KWA JICHO LA KIMAENDELEO,JAMAA YUKO SAHII SANA.
Umenena sawia kuhusu Eng Kaliwa! Wizara mbali mbali na ata mkoani wana mfahamu huyu mwamba kwa uchapa kazi

Ukienda wilayani kwake ata kama umetoka wizarani hakupi 10% wala pesa ya mafuta 😂😂😂 tofauti na halmashauri nyingi zinavyofanya kwa watendaji wajuu

Hapa ndipo wengi wana mchukia na kumuona kama halmashauri kaifanya kuwa yake😁
 
Hahahah bongo ukiwa mtendaji unataftiwa sababu na kuitwa majina mabaya.
Kweli kabisa mkuu,
WATUMISHI wa halmashaur ile hawampendi jamaa hata kdg,

Anawapeleka less mno,

Ila ile Ni faida kwa sisi tunaofika kuhudumiwa pale.

Pale halmashaur watumish Ni watiifu mno Unaweza dhani Ni parokia ya kanisa.

Ukiona wanazingua
ukawaambia basi ngoja nimuone mkurugenz mwnyw wanatetemeka balaa
 
Nnachokijua watumishi wengi wa halmashaur nyng nchini wanavojiona miungu watu hawawezi kumpenda boss mchapakazi Kama yule.

Mkuu,
Nmefanyakazi na halmashaur nyng,
Ila halmashaur ya jamaa na KAHAMA ndo halmashaur pekee nchini na ambazo Unaweza kua na tatizo usiku.

Ukampigia Simu mkurugenz, akakuskiliza akaacha usngz wake na akaja ofsin au site kushughulikia Tatizo lako mpk ukaridhika.

Pia ndo halmashaur pekee nmeona zinatafuta wawekezaji wa ndani zenyewe na ukifika unanyenyekewa.

Jamaa mwaka Juz kafata wawekezaji wa kilimo dar, kawagawia mapori kibao matupu wakodishwe walime kwa ridhaa ya serikali ya Kijiji ili kuongeza mzunguko wa fedha kwenye halmashaur Yake.

Katafuta wawekezaji wa vifaa vya kilimo matrekta,mbolea n.k na kuwaunganisha na wakulima.

Imagine mkulima mkubwa mkurugenzi anakudhamini pembejeo unakopeshwa kwa dhamana ya shamba lenye mazao yako tu. Cha muhimu uaminifu wako TU.
Unalipa marejesho baada ya kila msimu wa kilimo. Very simple

Halmashaur nyngn hayo yote mpk uhangaike mwnyw, utoe rushwa kibao na ubembeleze sana na urasimu mwngi ili angalau uweze kufanya investment kwa amani.
Aisee!Hiiiiii bhaghosha.Huu sasa ni ujinga mkuu!Acha kujiongelea kama tupo kufanya comedi hapa.Hiki unacho kiongea hakipo.
 
Wakihamishwahamishwa mnalalama, wakiachwa mnalalama PAMBAF wahid nyie!
 
Ila si mnalipwa lakni nikafikiri mnakaa benchi na hamlipwi daah

Labda na yeye kasomea hayo mambo anawapunguzia majukumu,

Ishini na Mkurugenzi wenu vizuri ndio boss wenu
WATUMISHI wa halmshaur hawajazoea kuish kwa mshahara, jamaa kaziba mianya
 
Aisee!Hiiiiii bhaghosha.Huu sasa ni ujinga mkuu!Acha kujiongelea kama tupo kufanya comedi hapa.Hiki unacho kiongea hakipo.
Unabishana lete ushahidi mezani,nami ntaweka wa kwangu mezani, kwa hoja zangu zote nilizoorodheaha hapo. twende kwa numbers mkuu
 
Back
Top Bottom