Hivi mbona ndege ya jeshi la marekani( c-17 globemaster) route zake haziishi kwenye anga letu

Gari nyingi zilizokuwa kwenye msafara, chakula vilikuja na hizo ndege.

Kwanini hadi sasa zipo kwa kweli hatujui, na kwanini hawajahamia Dodoma sijui, maana naona Ubalozi wa Ufaransa ndo kwanza wanaongeza fortification
Kila siku kuna feelings zinanituma kuna kitu kiovu na kibaya mno (catastrophic) /so nefarious kimepangwa na soon kitatokea ,na si hii nchi tu ,ulimwengu mzima ,trends za yanayoendelea humu duniani ni smoke screen za watu kupoteza focus ya kutafakari mwenendo wa hii dunia
 
Watanzania tunashindwa kupambana na maovu ya viongozi wetu waliopo hapa nchini tunahoji ndege za US . Sasa ukishajua utafanya nini? Unaenda kuzuia zisije au?
 
Hakuna uwezekano Tanzania tukanunia kama hayo hata mawili tu
Hatuhitaji airlifter kubwa vile kwa bajeti yetu na mahitaji yetu. Inabeba tani 70 ila huwezi nunua ndege moja tu, inabidi ziwe hata mbili au tatu kuhakikisha availability muda wote. Operation cost ndio inaua
 
jeshi letu la anga linasemaje? au hawajaiona? au wanaiogopa? je na cc tunaweza kupeleka ndege yetu ikazurure zurure kwny anga la washington?
 
Gari nyingi zilizokuwa kwenye msafara, chakula vilikuja na hizo ndege.

Kwanini hadi sasa zipo kwa kweli hatujui, na kwanini hawajahamia Dodoma sijui, maana naona Ubalozi wa Ufaransa ndo kwanza wanaongeza fortification
Hakuna sheria Yoyote Inayolazimisha Balozi za Nchi Kuwepo Makao Makuu Ya Nchi.
 
Binafsi huwa sipendelei kuziona hapa ndege za US Air Mobility Command. Wiki kabla Kamala hajaja nilianza kuona C-17, akaondoka zipo, bado wiki kadhaa zimepita ndege zinakuja na kuondoka. Uwezo wake kubeba tani nyingi sasa hiyo mizigo isiyoisha ndio najiuliza ni ya aina gani.

Kila mwaka observation yangu huwa zinakuja kama mara tatu hivi na ndio zilileta chanjo za COVID-19. Ila mwaka huu zimepitiliza
images.jpeg
 
Basi ukaushe uache wanaojikita huko waulize na wajadiliane!.
unanilazimisha kujadili unachotaka ? najadili chochote kinacholetwa hapa, including emoji

ndio maana sasa Taifa linadiscuss kuhusu chura katika report ya CAG

naomba sana Mkuu tusipangiane cha kujadili humu ndani, sisi sote ni watu wazima
 
Acha saivi nianze kuvaa tishet langu lenye bendera ya marekani huwezi jua wanaweza wanakaniona wakanchukua niende California uko
 
Ajabu ni kwamba huwa inazungukazunguka tu angani, kuna siku niliiona nkajiuliza ndege gani hii haina muelekeo as if imepotea, maana nilijua inaenda kutua pale JNIA ghafla ikakunja kama inaelekea mbagala.
Aisee Kuna siku nilikuwa Town mitaa ya chang'ombe nikaiona ndege ya dizaini ya kijeshi hivi kubwa kubwa ndio imetoka kupaa.

Ni wiki iliyopita tu.
 
Back
Top Bottom