Tayana-wog
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 23,144
- 26,651
Heeee kumbe kawa mbungeNauliza tu wasifu wa huyu mbunge wa viti maalumu, Mariam Ditopile mjumbe wa kamati ya Haki, Maadili na Madaraka ya bunge la JMT.
=======
View attachment 1919094
Pichani; Mariam Ditopile kushoto wakati akikabidhi mifuko 100 kama msaada
Yes ni mtt wa yule baba!
Nimesoma nae CBE,alikuwa makamo wa rais wa chuo!
Naona uongozi upo kwenye damu!
Ila sijui sana mengine kumhusu