Hivi Mariamu Ditopile (MB) ni mtoto wa yule Ditopile Mzuzuri aliyesababisha ajali pale Lugalo Kawe?

Nauliza tu wasifu wa huyu mbunge wa viti maalumu, Mariam Ditopile mjumbe wa kamati ya Haki, Maadili na Madaraka ya bunge la JMT.

=======

View attachment 1919094
Pichani; Mariam Ditopile kushoto wakati akikabidhi mifuko 100 kama msaada
Heeee kumbe kawa mbunge
Yes ni mtt wa yule baba!
Nimesoma nae CBE,alikuwa makamo wa rais wa chuo!
Naona uongozi upo kwenye damu!
Ila sijui sana mengine kumhusu
 
Siyo daladala ni Tipa la mchanga
Alikuwa dereva taxi
acheni ubishi basiii


 
Inawezekana maana kwa sasa watoto wa viongozi ndio Ma-dc,Ma ded,wabunge wa viti maalumu nk !!! Yan baba zao baada ya kushindwa kutengeneza ajira kwa watz na watoto wao wameamua watoto wao waridhi utawala!!!
Kwani mtoto wa kiongozi hana haki ya kuwa kiongozi?!!!

Unaongelea HISIA?!!!

Bush senior na Bush junior.....
Kennedy family......
Trump na mkwewe ikulu.....
 
Back
Top Bottom