Hivi majiko ya mafuta ndivyo yalivyo au langu tu?

Nadhani mafuta
yanachangia
nimenunua gas
ajili nilichoka
sufuria zlikuwa
km napikia kuni!
Af kwanini wapikia ndani? Nyie ndo
tunakutana daladalani mnanuka
mafuta na mamoshi
ya mchina!
Jiko la gas linabidi litoe moto wenye ubluu tofaut na hapo basi limesetiwa vibaya na lazma lichafue sufuria
 
Wadau mie nna jiko la mafuta(wengne wanaita la mchina) nikizima tu moshi chumba kizima nimewahi kubadili tambi lakini bado hivi ni majiko yote au?
Majiko yote yako hivyo,cha kufanya ukitaka kulizima toka nalo nje,ukishazima huwa linatoka moshi mweupe,huo ndio unaotoa hiyo harufu,ukishaisha rudisha ndani ni kitendo kama cha dakika 3 kila kitu kinakuwa sawa.

Sony Z3
 
Ukijua kutumia Jiko la Mafuta ya Taa wala hutapata shida, ukitaka Sufuria zisichafuke unatakiwa uwashe jiko likishawaka unachukua muda kama Dakika Mbili bila kubandika Sufuria, baada ya hapo ukibandika Sufuria yako haitachafuka kamwe.

Mkuu umekumbuka nini mpaka umeifufua hii thread?
 
Unatakiwa ukishapikia ukalizimie nje uliache hapo walau dk 3. bila hivyo utapata tabu sn
 
Back
Top Bottom