Nai hurumia Tanzania aijawai kupata viongozi wanaojali kizazi kijacho labda Nyerere tu wengine wote majambazi
Unanikumbusha mmoja wa wapiganaji wa enzi hizo ambaye kwa hizi siku unaweza kidogo ukamlinganisha na Saed Kubenea, the late Stanslaus Katabalo.Kwa wanaokumbuka kashfa iliyotikisa nchi wakati wa utawala wa Ali Hassan Mwinyi ya Loliondo watakuwa na mengi ya kusema. Je yule mwarabu Brigedia Ali wa falme za kiarabu ndiye huyu huyu aliyesafirisha twiga hivi karibuni? Je serikali ilisharejesha mbuga yetu au wamekuwa wakirithishana ulaji hasa baada ya kusikia kuwa viwanja vingi vya uwindaji vinamilikiwa na makampuni ya vigogo ukiachia mbali watu kama Pius Msekwa kuwa na maslahi binafsi kwenye dili hili?
nawapenda sana wanaosema ukweli unaoumiza, cha muhimu ni ukweliMzee Ruksa aliuza kwa waarabu! mzee Ruksa pia anausika kumkolimba mwandishi wa habari Stanley Katabaro aliyechunguza na kuandika habari ya LOLIONDO GATE.
R.I.P Stanley Katabaro.....shujaa wetu,mzalendo wa kweli
nyamazia hapo hapo wala usiongeze neno ukanitibua nyongo bure,amiliki kisheria ni uarabuni hapa? Hii ni Tanzania na ardhi yk ni mali ya Watanzania.Kama anamiliki kisheria tatizo liko wapi au kwa kuwa ni mwarabu?
Ukodishwaji wa vitalu ni kwa mujibu wa sheria na taratibu ilizojiwekea serikali kwa wenye sifa na vigezo kukodishwa,sasa kama wewe huna sifa usilete chuki endelea kukazana ili na wewe upate.nyamazia hapo hapo wala usiongeze neno ukanitibua nyongo bure,amiliki kisheria ni uarabuni hapa? Hii ni Tanzania na ardhi yk ni mali ya Watanzania.
nyamazia hapo hapo wala usiongeze neno ukanitibua nyongo bure,amiliki kisheria ni uarabuni hapa? Hii ni Tanzania na ardhi yk ni mali ya Watanzania.
Hivi wazungu wakristo wanaomiliki migodi hawakutibui nyongo au wao ni Watanzania ???
Mbona tumekufa huku tunatembea.Mbona hata kufa hatujafa mkuu? Swali hili watauliza wajukuu zetu. Mia.
nyamazia hapo hapo wala usiongeze neno ukanitibua nyongo bure,amiliki kisheria ni uarabuni hapa? Hii ni Tanzania na ardhi yk ni mali ya Watanzania.
Mada iliyopo ni Loliondo siyo migodiHivi wazungu wakristo wanaomiliki migodi hawakutibui nyongo au wao ni Watanzania ???
Kwenye listi niliyoweka juu, kampuni ya Waarabu ina kitalu kimoja, jee hivyo vingine vya kina nani?
hii labda labda hii ndiyo inayonifanya nisihelewe hii M4C ya CDM kwa nini sisi tufikirie wenyewe labda watafanya hiki badala ya wenyewe kueleza umma unaotaka mageuzi ya kweli kua watafanya hivi...cdm iko vugu vugu kwenye mageuzi ya kweli
Hunting Blocks hazitolewi zaidi ya miaka 5. Msidanganye watu.
ALLOCATION OF HUNTING BLOCKS WILL NOT BE REPEATED
The Ministry of Natural Resources and Tourism would like to inform the general public that the process for block allocation for the hunting tern of 2013 2018 was concluded in September, 2011.
The results were published through mass media in September, 2011. It was reported that, 60 companies were allocated with hunting blocks. Out of those a total of 51 companies were local (85%) and 9 were foreign (15%). The current allocation was done in conformity with the requirements of section 39 (3) (b) of Wildlife Conservation Act No. 5 of 2009.
Soma zaidi: ALLOCATION OF HUNTING BLOCKS IN TANZANIA