Hivi lini muhimbili itakuja kuwa hospitali bora???

tambarare

Senior Member
Mar 1, 2011
147
9
wana jf hivi lini hospitali yetu ya muhimbili itakuja kuwa bora kwa huduma? Inasikitisha sana kuona watu wanapoteza maisha kwa ajiri tu yakukosa pesa kidogo ya kIpimo au que ya kumuona doctor.......viongozi wa muhimbili hamlioni hili suala au sababu watu wanaokufa sio ndugu zenu?
 
NO HMETHOD SUALA SIO MPAKA TUFE WOTE SUALA NI KWAMBA NI HOSPITALI YETU YA TAIFA ,....SO KWA NINI ISIWE NA UENDESHWAJI WA NAMNA AMBAYO UTAMSAIDIA MTANZANIA WA AINA YOYOTE ? .....i MEAN MWENYE PESA NA ASIYE NA PESA .....KAMA TUTAKUWA NA HUDUMA BORA SIDHANI KAMA KUNA MTU ATACHOMA PESA KWENDA INDIA AU SA KWA AJIRI YA MATIBABU ILI HALI HAPA NYUMBANI KUNA HUDUMA.....PILI KWA WATU WASIO JIWEZA KUWE NA NAMNA YA KUWATIBIA PIA
 
@ ngumi jiwe nadhani wazo lako ni kweli ikitokea suala la matibabu kwa viongozi wote lazima watibiwe home itawezekana unless huyo atakaye amua kwenda huko kwa gharama zake
 
@tambarare viongozi waliopo ndio wanaolea hiyo hali..maana yake? Wanasubiri sote tufe waje wajukuu zetu watakaoona umuhimu wa kufanya huduma za Muhimbili ziwafikie watanganyika wote..wenye uwezo na wasio na uwezo.
 
Wenye nchi hii wanatabiwa ughaibuni
wameziba masikio yao hawasiki vileo vya wananchi
 
wana jf hivi lini hospitali yetu ya muhimbili itakuja kuwa bora kwa huduma? Inasikitisha sana kuona watu wanapoteza maisha kwa ajiri tu yakukosa pesa kidogo ya kIpimo au que ya kumuona doctor.......viongozi wa muhimbili hamlioni hili suala au sababu watu wanaokufa sio ndugu zenu?
Pale tutakapo kua Rais na viongozi bora na makini wasio mafisadi.Tatizo sio hospital tatizo letu linaanzia kwa Rais JK,Mawaziri na chama tawala CCM(Chama Cha Mafisadi)Hiki ndio kikwazo kikubwa kwa sekta zetu zote.MUNGU IBARIKI TANZANIA
 
Back
Top Bottom