Hivi kweli Tanzania inahitaji kuombea au kuambiwa?

mpayukaji

JF-Expert Member
Oct 31, 2010
940
349
Ninapoandika kuna kundi la matapeli wa majoho wanaoandaa tamasha eti la kuombea taifa! Hivi Tanzania inahitaji kuombewa au kuambiwa ukweli mchungu hasa kupambana na vikwazo vinavyoifanya iwe shamba la bibi na ombaomba duniani? Kwanini kuomba badala ya kuyakabili matatizo ya kweli yaani ujinga, umaskini, rushwa, ufisadi, usanii, ukondoo, ukijiko, ukuku na adha nyingine? Naomba kutoa hoja.
 
inahitaji kujambiwa...!
 
Back
Top Bottom