Jaxx
Senior Member
- Mar 22, 2011
- 129
- 28
Imenichukuwa muda sana kutafakari matangazo ya kazi hapa Tanzania na nikafikia hitimisho kwa swali ama dukuduku kama kweli maafisa waajili wa makampuni yetu wana elimu ya kutosha kutimiza wajibu wao au wapo wapo tu???, Bahati nzuri sana leo nimepata mfano halisi kabisa. Wengi sana tunaamini kuwa thread za Totolucky zina msaada mkubwa sana na wala hafai kulaumiwa maana yeye ana copy na ku paste kisha anaanika Jamvini
Hebu fikiria thread hii ya leo JULY 11,2011 nafasi ya Senior Accountants (2 positions)
Inataka experience ya 10 years na age Limit ni 35 yrs maximum, linganisha na safari ya Mtanzania katika Elimu kama ifuatavyo
School age--------------------------7 years
Standard I-VII----------------------7 years
Form I-IV---------------------------4 Years
Form V-VI--------------------------2 years
University/College-----------------3 years
Employment Search---------------3 years
Experience REQUIRED-------------10 years
TOTAL------------------------------36 years
AGE LIMIT ==============35 Years
Dificity-------------------------------1 year ( huu mwaka mmoja ataupunguza vp??)
Kwa njia hii kweli huyu mtu alitafakari kabla ya kutangaza kazi ama alikurupuka tu kutimiza njaa zake???
Source Job - SENIOR ACCOUNTANT (Only Males) - Ahmedabad, Tanzania - Sycamore (I) Consultancy Services - 8-to-10 years of experience - Jobs India
Naomba mawazo yenu