Hivi kweli kampuni kama hii inawasomi??/experience 10yrs, age limit 35 max.Is it Possible???

Jaxx

Senior Member
Mar 22, 2011
129
28
Imenichukuwa muda sana kutafakari matangazo ya kazi hapa Tanzania na nikafikia hitimisho kwa swali ama dukuduku kama kweli maafisa waajili wa makampuni yetu wana elimu ya kutosha kutimiza wajibu wao au wapo wapo tu???, Bahati nzuri sana leo nimepata mfano halisi kabisa. Wengi sana tunaamini kuwa thread za Totolucky zina msaada mkubwa sana na wala hafai kulaumiwa maana yeye ana copy na ku paste kisha anaanika Jamvini
Hebu fikiria thread hii ya leo JULY 11,2011 nafasi ya Senior Accountants (2 positions)
Inataka experience ya 10 years na age Limit ni 35 yrs maximum, linganisha na safari ya Mtanzania katika Elimu kama ifuatavyo
School age--------------------------7 years
Standard I-VII----------------------7 years
Form I-IV---------------------------4 Years
Form V-VI--------------------------2 years
University/College-----------------3 years
Employment Search---------------3 years
Experience REQUIRED-------------10 years
TOTAL------------------------------36 years
AGE LIMIT ==============35 Years
Dificity-------------------------------1 year ( huu mwaka mmoja ataupunguza vp??)
Kwa njia hii kweli huyu mtu alitafakari kabla ya kutangaza kazi ama alikurupuka tu kutimiza njaa zake???
Source Job - SENIOR ACCOUNTANT (Only Males) - Ahmedabad, Tanzania - Sycamore (I) Consultancy Services - 8-to-10 years of experience - Jobs India
Naomba mawazo yenu
 
Umeongea kwa kweli... mimi pia nashangazwa na some of the requirements maana sioni how they are relevant to the job described. Kazi kwelikweli... sasa upate interview ndio utaona vioja zaidi. Watu wanauliza kama umeolewa, una watoto wangapi? Ni kabila gani... how is that relevant kama sio kutaka kuanzisha stereotyping? Hivi mimi nikiwa mhaya au mnyakyusa ina maana utendaji wangu unabadilika? Je nikiwa mixed?
 
kaka hiyo ni noma kaka respect ila hawa jamaaa mara nyingi wanakuwa na watu wao ili icionekane hawakutangaza ajira na pia sheria za ajila ni miaka 45 sasa wao wanataka 35 wapuuzi
 
Imenichukuwa muda sana kutafakari matangazo ya kazi hapa Tanzania na nikafikia hitimisho kwa swali ama dukuduku kama kweli maafisa waajili wa makampuni yetu wana elimu ya kutosha kutimiza wajibu wao au wapo wapo tu???, Bahati nzuri sana leo nimepata mfano halisi kabisa. Wengi sana tunaamini kuwa thread za Totolucky zina msaada mkubwa sana na wala hafai kulaumiwa maana yeye ana copy na ku paste kisha anaanika Jamvini
Hebu fikiria thread hii ya leo JULY 11,2011 nafasi ya Senior Accountants (2 positions)
Inataka experience ya 10 years na age Limit ni 35 yrs maximum, linganisha na safari ya Mtanzania katika Elimu kama ifuatavyo
School age--------------------------7 years
Standard I-VII----------------------7 years
Form I-IV---------------------------4 Years
Form V-VI--------------------------2 years
University/College-----------------3 years
Employment Search---------------3 years
Experience REQUIRED-------------10 years
TOTAL------------------------------36 years
AGE LIMIT ==============35 Years
Dificity-------------------------------1 year ( huu mwaka mmoja ataupunguza vp??)
Kwa njia hii kweli huyu mtu alitafakari kabla ya kutangaza kazi ama alikurupuka tu kutimiza njaa zake???
Source Job - SENIOR ACCOUNTANT (Only Males) - Ahmedabad, Tanzania - Sycamore (I) Consultancy Services - 8-to-10 years of experience - Jobs India
Naomba mawazo yenu

Hapo JKT bahati nzuri imefutwa,....not to mention kulikuwa na mwaka mzima wa kusubiri nyumbani baada ya kumaliza JKT kabla hujajoin UDSM!!
Waziri wako wa Kazi alitakiwa aingilie kati sababu hii ni some kind of discrimination (age Discrimination) na huyo mwajiri atakiuka masharti ya EEO/Equal Opportunity Employer
Unless waspecify kuwa hiyo ajira ama position zinafall under "Youth Program" kama wafanyavyo World Bank
 
Jamani watanzania wakati mwingine tusiwe wenye kulaumu tu.
Kwani Experience/Uzoefu maana yake nini??
Je uzoefu unaupata pale tu unapoanza kazi baada ya kumaliza shule??

Siku hizi watu wanasoma wakiwa kazini achaneni na dhana potofu kwamba wasomi lazima wapitie kwenye mfumo mlioutaja hapo juu.
Kwa mfano hapa wanataka a Senior Accountant nafasi ambayo hata igekuwa kampuni yangu siwezi kuajiri mtu asiye na uzoefu hata kama una 1st class. Sasa kwa taarifa yenu kuna watu wa CPA zako at age lower than 35yrs.

Ni bahati mbaya sana mfumo wetu wa elimu unatufundisha kufaulu mitihani na sio stadi za kazi. Labour market ya leo wapendwa inaangalia uwezo kwanza, vyeti ni makaratasi tu ambayo mtu yeyote anaweza kuwa nayo.
Wanafunzi wangapi wakiwa likizo wako tayari kwenda kufanya kazi kwa mtu bila malipo???
Volunteers wa kizungu/kijapani wanaokuja kufundisha kwenye baadhi ya skuli zetu mnadhani hawapendi hela???

Watanzania ni wakati wa kubadilika na tujue ku-seize every opportunity comes our way!
Nyerere ambaye alijua kutetea watanzania hayupo tena ni wakati wa kusimama kwa miguu yetu wenyewe usipofanya hivyo inakula kwako.
 
Acha hizo mkuu labda ww umesoma zile shule za St. Somethingi, lakini sisi tulio wengi kina senti kayumba hizo kwalification ni ndoto kuwa nazo katika hiyo age kama ww unazo shukuru mungu.
 
Hapo JKT bahati nzuri imefutwa,....not to mention kulikuwa na mwaka mzima wa kusubiri nyumbani baada ya kumaliza JKT kabla hujajoin UDSM!!
Waziri wako wa Kazi alitakiwa aingilie kati sababu hii ni some kind of discrimination (age Discrimination) na huyo mwajiri atakiuka masharti ya EEO/Equal Opportunity Employer
Unless waspecify kuwa hiyo ajira ama position zinafall under "Youth Program" kama wafanyavyo World Bank
Itaanza mwaka wa Fedhaa 2012/13
 
Jamani watanzania wakati mwingine tusiwe wenye kulaumu tu.
Kwani Experience/Uzoefu maana yake nini??
Je uzoefu unaupata pale tu unapoanza kazi baada ya kumaliza shule??

Siku hizi watu wanasoma wakiwa kazini achaneni na dhana potofu kwamba wasomi lazima wapitie kwenye mfumo mlioutaja hapo juu.
Kwa mfano hapa wanataka a Senior Accountant nafasi ambayo hata igekuwa kampuni yangu siwezi kuajiri mtu asiye na uzoefu hata kama una 1st class. Sasa kwa taarifa yenu kuna watu wa CPA zako at age lower than 35yrs.

Ni bahati mbaya sana mfumo wetu wa elimu unatufundisha kufaulu mitihani na sio stadi za kazi. Labour market ya leo wapendwa inaangalia uwezo kwanza, vyeti ni makaratasi tu ambayo mtu yeyote anaweza kuwa nayo.
Wanafunzi wangapi wakiwa likizo wako tayari kwenda kufanya kazi kwa mtu bila malipo???
Volunteers wa kizungu/kijapani wanaokuja kufundisha kwenye baadhi ya skuli zetu mnadhani hawapendi hela???

Watanzania ni wakati wa kubadilika na tujue ku-seize every opportunity comes our way!
Nyerere ambaye alijua kutetea watanzania hayupo tena ni wakati wa kusimama kwa miguu yetu wenyewe usipofanya hivyo inakula kwako.

Ni mawazo mazuri pia japo hayatekelezeki mkuu wangu,CPA cyo uzoefu ni taaluma pia na ukiangalia pale mchanganuo wa miaka haipo hivyo ongeza pale ili uje kama kweli kwa umri huo je utakuwa na uzoefu wa miaka 10?.
Hiyo green najibu kama ifuatavyo, A candidate must have an experience of 9 years while 5 years in a Senior position from a reputable Organization
 
Imenichukuwa muda sana kutafakari matangazo ya kazi hapa Tanzania na nikafikia hitimisho kwa swali ama dukuduku kama kweli maafisa waajili wa makampuni yetu wana elimu ya kutosha kutimiza wajibu wao au wapo wapo tu???, Bahati nzuri sana leo nimepata mfano halisi kabisa. Wengi sana tunaamini kuwa thread za Totolucky zina msaada mkubwa sana na wala hafai kulaumiwa maana yeye ana copy na ku paste kisha anaanika Jamvini Hebu fikiria thread hii ya leo JULY 11,2011 nafasi ya Senior Accountants (2 positions) Inataka experience ya 10 years na age Limit ni 35 yrs maximum, linganisha na safari ya Mtanzania katika Elimu kama ifuatavyo School age--------------------------7 years Standard I-VII----------------------7 years Form I-IV---------------------------4 Years Form V-VI--------------------------2 years University/College-----------------3 years Employment Search---------------3 years Experience REQUIRED-------------10 years TOTAL------------------------------36 years AGE LIMIT ==============35 Years Dificity-------------------------------1 year ( huu mwaka mmoja ataupunguza vp??) Kwa njia hii kweli huyu mtu alitafakari kabla ya kutangaza kazi ama alikurupuka tu kutimiza njaa zake??? Source Job - SENIOR ACCOUNTANT (Only Males) - Ahmedabad, Tanzania - Sycamore (I) Consultancy Services - 8-to-10 years of experience - Jobs India Naomba mawazo yenu
............yah inawezekana mkuu. c unjua wenzetu huwa wanawahi shule? pia naamini wafanykazi wanao wataka sio watanzania coz cc huwa tunacchelewa sana kuaanza shule na hao walotoa hizo nafasi wanalijua hilo.
 
Na hapo mungu alikujalia hukuwahi kukumbana na mgomo wa chakula,mikopo,kumtukana Mh. etc kiasi kwamba ulikwenda a smooth way na baba yako/mlezi hakuwahi kukosa fee hata mwaka mmoja.
Lakini nasikia kuna njia ya kuchakachua miaka.
RE
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom