Glavitational maige
New Member
- Jul 24, 2012
- 2
- 0
Napita, jaman
hiyo avatar nimeifatlia kweli,nikagundua si picha yako kumbe,dah
Utakuta mtu anafahamu fika kuwa wewe umeokoka, tena ni kiongozi wa kanisa, lakini cha ajabu wanawake haohao wanaokujua vyema, na ambao ni walokole wenzako ndio wanakuwa vimbelembele wa kutaka ufanye nao ngono, na ukiwakemea wanakuambia baada ya dhambi hiyo mtatubu.
Wengine wanaenda mbali zaidi, ukiwakataa wanaanza kukusingizia maneno ya uwongo kuwa unawataka.
Ndugu zanguni, kazi ya Mungu ni ngumu sana na shetani anajiinua sana.
Tuwaombee sana watumishi wa Mungu, wanapita mapito magumu sana kiimani
Hapo kwenye RED nimekupata vizuri afrodenzihahahahahahahahahahah loohh imenibidi nicheke kwa kweli.. Roulette tatizo la watumishi wengi huwa wanadhani wao hawatendi dhambi "watakatifu"
na hata wakitenda is "someones else fault" na kumbe sote ni binadamu tu dhambi kitu cha kawaida..
Utakuta mtu anafahamu fika kuwa wewe umeokoka, tena ni kiongozi wa kanisa, lakini cha ajabu wanawake haohao wanaokujua vyema, na ambao ni walokole wenzako ndio wanakuwa vimbelembele wa kutaka ufanye nao ngono, na ukiwakemea wanakuambia baada ya dhambi hiyo mtatubu.
Wengine wanaenda mbali zaidi, ukiwakataa wanaanza kukusingizia maneno ya uwongo kuwa unawataka.
Ndugu zanguni, kazi ya Mungu ni ngumu sana na shetani anajiinua sana.
Tuwaombee sana watumishi wa Mungu, wanapita mapito magumu sana kiimani
kwahiyo wewe ulikuwa interested na avatar yangu? poor boy
U sound like rwandese....wanapenda sana kutumia hilo neno
basi kazi ipo dunian hapa............!
sasa ulimpa ama?? manake hukawii kuwa uiona anakuchuna manake ndo wanaume wa bongo mlivyoUmeona eeh....kuna mdada mmoko frm rwanda siku iyo hakuwa na hela...basi akanipigia simu akaniambia "babeee today Im poor gel, I dont have even single coin"...nilicheka sana!!
sasa ulimpa ama?? manake hukawii kuwa uiona anakuchuna manake ndo wanaume wa bongo mlivyo
Kujitongosesha??? Mtumishi wa Mungu akitongoza hawezi kusema katongoza, anasema alitongozeshwa, is it? kama kondoo linajileta kwa mchungaji ni ruhusa tosha kwa mchungaji kuila na baadae kujitetea kwamba kondoo ilimshawishi?
Wanawake bana,kwanini msizungumzie alichozungumza mtoa mada?Mnaleta excuse!!Kazi sana!