Hivi kwa nini wanawake wanajitongozesha kwa Watumishi wa Mungu?

Bujibuji Simba Nyamaume

JF-Expert Member
Feb 4, 2009
74,883
155,855
Utakuta mtu anafahamu fika kuwa wewe umeokoka, tena ni kiongozi wa kanisa, lakini cha ajabu wanawake haohao wanaokujua vyema, na ambao ni walokole wenzako ndio wanakuwa vimbelembele wa kutaka ufanye nao ngono, na ukiwakemea wanakuambia baada ya dhambi hiyo mtatubu.
Wengine wanaenda mbali zaidi, ukiwakataa wanaanza kukusingizia maneno ya uwongo kuwa unawataka.
Ndugu zanguni, kazi ya Mungu ni ngumu sana na shetani anajiinua sana.
Tuwaombee sana watumishi wa Mungu, wanapita mapito magumu sana kiimani
 
nilijua na wewe ni mmojawao wa watumish wa mungu kumbe unawawakilisha tu? basi waache waje wenyew watuambie kama hawaipendi hii tabia kisha tutaanza maombi.
 
Sidhani kama wewe kweli ni Mtumishi wa Mungu...nina mashaka, ingawa ulichokiongea kipo sawa!!
 
Niwanawake tuu sikuzote wanao wafata hao watumishi au na wao watumishi pia macho yao hayakukinai?
 
Mara nyingi wanaona labda faraja ipo kwa watumishi wa Mungu?
 
pole sana ..
ndio dunia ilivyo majaribu kibao kwa kila mtu na kila kitu ..
ni jinsi gani utapingana nayo ..hiyo inategemea uko strong kiasi gani na unachoamini..
 
Kujitongosesha??? Mtumishi wa Mungu akitongoza hawezi kusema katongoza, anasema alitongozeshwa, is it? kama kondoo linajileta kwa mchungaji ni ruhusa tosha kwa mchungaji kuila na baadae kujitetea kwamba kondoo ilimshawishi?
 
Labda we anaweza kukuelewa...nina mashaka na mtumishi huyu wa Mungu
 
Kujitongosesha??? Mtumishi wa Mungu akitongoza hawezi kusema katongoza, anasema alitongozeshwa, is it? kama kondoo linajileta kwa mchungaji ni ruhusa tosha kwa mchungaji kuila na baadae kujitetea kwamba kondoo ilimshawishi?

hahahahahahahahahahah loohh imenibidi nicheke kwa kweli.. Roulette tatizo la watumishi wengi huwa wanadhani wao hawatendi dhambi "watakatifu"
na hata wakitenda is "someones else fault" na kumbe sote ni binadamu tu dhambi kitu cha kawaida..
 
Last edited by a moderator:
Utakuta mtu anafahamu fika kuwa wewe umeokoka, tena ni kiongozi wa kanisa, lakini cha ajabu wanawake haohao wanaokujua vyema, na ambao ni walokole wenzako ndio wanakuwa vimbelembele wa kutaka ufanye nao ngono, na ukiwakemea wanakuambia baada ya dhambi hiyo mtatubu.
Wengine wanaenda mbali zaidi, ukiwakataa wanaanza kukusingizia maneno ya uwongo kuwa unawataka.
Ndugu zanguni, kazi ya Mungu ni ngumu sana na shetani anajiinua sana.
Tuwaombee sana watumishi wa Mungu, wanapita mapito magumu sana kiimani

Dhahabu hujaribiwa kwa moto..unapokuwa wakala/balozi wa mungu duniani lazima upambane na shetani uso kwa uso...si suala la kuwalaumu wanawake ila ni suala la kuangalia aliyeko nyuma ya hao wanawake.......
 
Utakuta mtu anafahamu fika kuwa wewe umeokoka, tena ni kiongozi wa kanisa, lakini cha ajabu wanawake haohao wanaokujua vyema, na ambao ni walokole wenzako ndio wanakuwa vimbelembele wa kutaka ufanye nao ngono, na ukiwakemea wanakuambia baada ya dhambi hiyo mtatubu.
Wengine wanaenda mbali zaidi, ukiwakataa wanaanza kukusingizia maneno ya uwongo kuwa unawataka.
Ndugu zanguni, kazi ya Mungu ni ngumu sana na shetani anajiinua sana.
Tuwaombee sana watumishi wa Mungu, wanapita mapito magumu sana kiimani
Kemea kwa nguvu zote shetani atashindwa tu!
 
hiyo avatar nimeifatlia kweli,nikagundua si picha yako kumbe,dah

Back
Top Bottom