Hivi kupanda kwa bei za bidhaa hasa vifaa vya ujenzi bado tunaunga juhudi hizi? Dangote , Nyati, twiga wamesimama

Return Of Undertaker

JF-Expert Member
Jun 12, 2012
4,572
26,868
Cement kwa sasa haikamatiki na inaendelea kuapanda bei tuko busy kuangalia kuungwa mkono za juhudi za wanaohama vyama ila hata vyombo vya habari "front fade" zimejaa umbea ila maisha ya watu wako kimyaaa.

Nadhani ipo siku atajulikana mbaya wetu ni nani ndio taifa litaamka naona mda huu tumelala usingizi wa pono.

Viwanda vya dangote, twiga na nyati vimefungwa kwa kisingizio wanachotoa serikali ya viwanda kuwa wanafanya maintainance na wengine tatizo la mikataba eti gesi hawampi.

Mnakumbuka sukari tangu ipande haijawai shuka
 
Back
Top Bottom