Hivi kuomba msamaha ni makosa?

Nimeingia kwenye ugomvi na girlfriend wangu baada ya kumtamkia maneno mabaya nikiwa na hasira. Sababu ya kufikia hatua ya kumtamkia maneno hayo ni baada ya yeye kunigombeza kwa sababu ya kumtafuta kwenye simu ya rafiki yake baada ya kumkosa yeye kwenye simu yake. Jambo hilo lilinikera sana kwa sababu sikuona mantiki ya yeye kunikoromea kwa sababu ya issue ndogo kama hiyo.Hilo lilipelekea nikapata hasira na kumtamkia maneno mabaya. Lakini baada ya hasira kuisha, niligundua kuwa sikufanya jambo jema kumtamkia maneno hayo, hivyo nikaamua kumwomba radhi kwa hilo. Kitendo cha kujishusha na kuomba msamaha imekuwa kama ndio nimewasha moto kwa sababu hataki kunisikiliza hata kidogo na hata simu hapokei, na hii ni wiki ya 3 hataki kupokea simu yangu? Halafu tatizo ni kwamba ninaishi mbali sana na yeye. Mimi nipo Shinyanga na yeye yupo Dsm. Nimejaribu kuhusisha baadhi ya marafiki zake wamweleweshe ili anisamehe, lakini ndio kwanza anazidi kuwa mkali. Cha kusikitisha ni kwamba nilipoanza tu kuomba msamaha alinitumia sms kwamba "ameamua tu-break up". Sasa najiuliza, hivi kuomba msamaha ni makosa? Wana JF naombeni maoni yenu.

Kaka demokrasia,...ukizidisha hiyo demokrasia ni kero,...kama vip mpotezee mpaka aje mwenyewe,asipo kuja we sepa kivyako bana.
 
... ulikua huna sababu ya kuendelea kujishusha

Mhh kwenye mahusiano wote tukipenda kuwa juu na kuogopa kujishusha kweli tutakuwa tunajenga au tunabomoa..., (although not on this case) lakini nadhani sometime mmoja kati ya couples inabidi awe a man enough (or a woman enough) na ajishushe, sababu as you know mafahari wawili hawakai zizi moja.... "unajua sometimes kwenye hizi battle unamuchia mwenzako ashinde, (although not in this case)"
 
Inaonekana siyo mara yako ya kwanza KUMGOMBEZA - sasa G/Friend unamgombeza...................... akiwa mke si ndio UTAMPIGA KABISA????

UMEMGOMBEZA MARA HII - kaamua hataki tena KUGOMBEZWA GOMBEZWA - anataka KUBEMBELEZWA...

WASEMAVYO; MKE HAPIGWI NA NGUMI - BALI ANAPIGWA NA NGUO................... mwombe MSAMAHA KWA GIFT ..... EXPRESS U R FEELINGS WITH GIFTS ..................... si unampenda????? KAZI KWAKO!!!!!!
 
Mhh kwenye mahusiano wote tukipenda kuwa juu na kuogopa kujishusha kweli tutakuwa tunajenga au tunabomoa..., (although not on this case) lakini nadhani sometime mmoja kati ya couples inabidi awe a man enough (or a woman enough) na ajishushe, sababu as you know mafahari wawili hawakai zizi moja.... "unajua sometimes kwenye hizi battle unamuchia mwenzako ashinde, (although not in this case)"

Kwa wengine hata ukijishusha, ndio unazidi kupandiwa juu . . . .
Kuna aina ya mtu kutaka kuabudiwa ukiona hivi
 
Mzee nahisi ndio mimi nimefanyiwa hivi. Jambo la msingi ni kuwa umepewa nguvu za kutafuta maisha masaa 24, fanya ufanyacho kwa bidii na maarifa na ueledi mkubwa (kazi, biashara, au shule) ili siku moja aweze tambua kuwa wewe ni MWANAUME. Usikate tamaa jifanye kama hujali vile. Utapata tu akufaaye maishani. Trust and have faith in youself, there is Nothing Good in life like living free of Guilty because all Angels will be with you when falling, and you and your Offspring will be blessed . After Three years atakutafuta.
 
Inaonekana siyo mara yako ya kwanza KUMGOMBEZA - sasa G/Friend unamgombeza...................... akiwa mke si ndio UTAMPIGA KABISA????

UMEMGOMBEZA MARA HII - kaamua hataki tena KUGOMBEZWA GOMBEZWA - anataka KUBEMBELEZWA...

WASEMAVYO; MKE HAPIGWI NA NGUMI - BALI ANAPIGWA NA NGUO................... mwombe MSAMAHA KWA GIFT ..... EXPRESS U R FEELINGS WITH GIFTS ..................... si unampenda????? KAZI KWAKO!!!!!!

Kama ukisoma vizuri alivyoelezea utaona wote wawili wana makosa.
Na kwa hatua aliyochukua mwanaume kujishusha ni ishara kwamba anampenda, why yeye mwanamke asishuke??
Je alikuwa sahihi kwenye tukio?? Au yeye hatakiwi kushuka, bali azidi kupaa??
 
Kwa wengine hata ukijishusha, ndio unazidi kupandiwa juu . . . .
Kuna aina ya mtu kutaka kuabudiwa ukiona hivi
ni kweli kuna watu "you give them an inch they take a mile" yaani wanatasfiri wema wako na upole kama ujinga.
 
  • Thanks
Reactions: CPU
Hivi ukifanyiwa hivi unatakiwa uchukue hatua gani?

Mkuu hapo inabidi uonyeshe stand yako kwamba huwezi kusukumwa zaidi ya level fulani sababu mwingine huwa anatingisha kiberiti aone utamfanyaje.., akiona unamuachia anazidi..., kwahiyo lazima uonyeshe kwamba hapa ndio mwisho wangu, na sikubaliani kabisa na vitendo vyako
 
Kuomba msamaha sio kosa ila jiulize ni maneno gani ulitumia. Je ni mara ya kwanza kutumia maneno hayo au huwa unarudia rudia? Je maneno hayo ya kashfa uliyotumia yanaukweli ndani yake? kuna maneno mengine yana -touch sana..na pia mwenzako anaweza kuwa ametafsiri vibaya... na yataendelea kutawala kichwani kwa muda mrefu kwani ni kashfa lakini kweli...

Mfano.. umemsadia sana rafiki yako..yaani bila wewe asingekuwa hapo... unaweza kutoa neno moja la kashfa na kuhusisha msaada huo.. hili litachoma moyo..kwani utakuwa umemuua..kwani unayosema ni kweli..kama dhiki ni kweli..lakini hana jinsi..mtu kama huyu itachukua muda kusahau kashfa yako..anaweza kukata mawasiliano hata kama anakupenda kupita kiasi...kwani maneno yako yamevunja mifupa na yanajirudia mara 100 kwa siku..Ushauri wangu fikiri maneno uliyosema na background ya uhusiano wenu.. anaweza kukusamehe..lakini itachukua muda kusahau kwani utakuwa umepiga sehemu mbaya..ila usikate tamaa kama una nia ya kweli na usirudie tena..
 
Kuomba msamaha sio kosa ila jiulize ni maneno gani ulitumia. Je ni mara ya kwanza kutumia maneno hayo au huwa unarudia rudia? Je maneno hayo ya kashfa uliyotumia yanaukweli ndani yake? kuna maneno mengine yana -touch sana..na pia mwenzako anaweza kuwa ametafsiri vibaya... na yataendelea kutawala kichwani kwa muda mrefu kwani ni kashfa lakini kweli...Mfano.. umemsadia sana rafiki yako..yaani bila wewe asingekuwa hapo... unaweza kutoa neno moja la kashfa na kuhusisha msaada huo.. hili litachoma moyo..kwani utakuwa umemuua..kwani unayosema ni kweli..kama dhiki ni kweli..lakini hana jinsi..mtu kama huyu itachukua muda kusahau kashfa yako..anaweza kukata mawasiliano hata kama anakupenda kupita kiasi...kwani maneno yako yamevunja mifupa na yanajirudia mara 100 kwa siku..Ushauri wangu fikiri maneno uliyosema na background ya uhusiano wenu.. anaweza kukusamehe..lakini itachukua muda kusahau kwani utakuwa umepiga sehemu mbaya..ila usikate tamaa kama una nia ya kweli na usirudie tena..
Asante!!
 
Mhh kwenye mahusiano wote tukipenda kuwa juu na kuogopa kujishusha kweli tutakuwa tunajenga au tunabomoa..., (although not on this case) lakini nadhani sometime mmoja kati ya couples inabidi awe a man enough (or a woman enough) na ajishushe, sababu as you know mafahari wawili hawakai zizi moja.... "unajua sometimes kwenye hizi battle unamuchia mwenzako ashinde, (although not in this case)"


Kujishusha is reasonable only when unaejishisha kwake ni muelewa na mstaarabu...
Kujishusha inatakiwa uweze ku draw a line kua hapa sasa yatosha, nimejishusha reasonably
na kwamba kama najishusha mpaka hapa lakini bado haoni... then VOR, it is not worth it!!
 
Una rafiki mwingine hapa by the name of Steve dii, usifadhaike moyo! Ulichofanya mpaka hapo kutaka kurekebisha mapungufu yaliyotokea inatosha. Kama ni rafiki wa kweli atarudi mwenyewe, natumai nawe utamwelewa na kumsamehe. Na kwa haya machache, kwani umwenye kumaanisha usemayo; ningekushauri uwaombe mods wafunge thread hii. Ugange yajayo na kuondokana na kuwahusisha wapendwa wako mtandaoni. Gud luck!
 
tafakari maneno uliyomwambia yawezekana kweli umedhalilisha na kumfedhehesha ndio maana anashindwa kukubaliana na msamaha wako pia anaogopa ipo siku utayarudia tena atasononeka na kujuta................ kwa upande mwingine inawezekana alikwisha kuchoka alikuwa anatafuta pakutokea..........sasa chekecha maneno yako upate ukweli
 
pole sana,, mm nahisi ulikua una worried about her,, ndio ukamtafuta kwa rafiki yke ,bcz she wasnt available f the moment,but mdomo unavunja pia unajenga,, maybe ulitumia kauli kali sana kiasi kwamba yalimuathir yy,, but samahan umemwabia ,,maybe amepata mtu mwengine so iyo ime kua gohead f her ,,but jaribu tena ,, s unajua kila mtu na moyo wake ,na kifua cha kuhimili matatzo,,
 
Wanawake wana mambo bana mm kuna mmoja alikuta condom kwenye droo ya nguo ,tulipewa job ktk semina za ukimwi, hamuwezi amini uhusiano ulivunjika pamoja na sory zote na kushow makabrasha ya semina,hakuelewa aliöndoka wanawake huwa mnaweza poteza wanaume waliowapenda kwa moyo wote!nliitwa malaya !ukichokwa na mwanamke wala usimlazimishe"mwanamke hakupendi kulingana na ww unavyojiskia bali yeye anakuhisi vipi moyöni mwake "kama no mvuto unaweza ombamsamaha peleka na Gold hakuelewi!u cannot force attraction to a woman its natural !usilazimishe mapenzi itakula kula kwako!
 
Huhitaji kupata kamusi sanifu ya kiswahili /kiingereza kupata tafsiri halisi, hao wako hivyo na ameona kama ulichelewa kulianzisha naye keshapata mwanya.............. You possess nothing................. Search 4 another that was just a lesson.................. lazima kapo kakijidumeeeeeeeeeee
 
Back
Top Bottom