Salary Slip
JF-Expert Member
- Apr 3, 2012
- 47,022
- 144,379
Naomba kujua kama kuna watu hushauriwa na madaktari wasipande ndege mara kwa mara au kusafiri na flight za masafa marefu bila kutua na kupumzika kwa muda(non-stop flight).
Kwa yoyote aliepanda ndege bila shaka atakuwa na experience ya usafiri wa ndege hasa wakati wa kupaa na kutua ukiachana na turbulence zinazotokea ikiwa hewani kutegemeana na hali ya hewa au ndege ikipita katika mawingu mazito (Cumulonimbus Cloud).
Nauliza swali hili kwsababu fulani fulani ambazo sio lazima niziweke hapa.