Loading failed
JF-Expert Member
- Sep 14, 2023
- 1,946
- 5,855
Wakuu natumaini mpo njema kabisa.
Kama kichwa cha habari kinavyosema je ni kweli kuna wanawake wanaopenda na wenye mapenzi ya dhati au ni kutiana moyo tu ili tuoe.?
Semeni ukweli vijana wapone