Hivi kuna umuhimu gani wa kuvaa pete ya ndoa kidoleni muda wote?

unataka kutoa umesahau ulivyo hapa kwamba utamlinda hivyo pete inaonesha kiapo chako kwake.

Kiapo chasaidia nini mkuu ikiwa moyoni nawaza kucheat? kipi bora kuacha kuvaa pete na moyoni niwe na mapenzi ya dhati na kweli kwa mke wangu, au nivae pete na kuiweka mfukoni wakati naenda kumcheat mke wangu?
 
kuvaa Pete ni Upendo tosha Maana Mkeo atajihisi kupendwa,kuhusu suala la kucheat ni wazo mbadala Mkuu ila acha kufikiri kucheat.
 
Hilo swali ni zuri sana kwa padri, mchungaji au shehe aliyekufungia ndoa yako mfuate muulize atakujibu ipasavyo pia hata mkeo atakuwa ana imani na wewe pindi utakapokua huivai atadhani teyeri ushaanza mambo ya vidum

napita
 
Mke wangu pokea pete hii iwe ishara ya upendo na uaminifu wangu kwako, kwa jina la baba na la mwana na la roho mtakatifu.
 
Kiapo chasaidia nini mkuu ikiwa moyoni nawaza kucheat? kipi bora kuacha kuvaa pete na moyoni niwe na mapenzi ya dhati na kweli kwa mke wangu, au nivae pete na kuiweka mfukoni wakati naenda kumcheat mke wangu?

me nakuunga mkono,mguu,kichwa na mwili mzima. nyakat hz pete imebak km ishara tu kuwa flan kaolewa/kaoa. ina dhana ya pete km upendo na uaminifu iko ICU yan inakaribia kufa! watu wanacheat kwa kwenda mbele ndo mana huachi kuckia malalamiko ya nyumba ndogo kila uchao!
 
  • Thanks
Reactions: ram
Tutofautishe kati ya upendo, na ishara ya upendo,
pete ni ishara
siku hizi watu wakiwa na ishara ni rahisi kuzingatia zaidi hio ishara kuliko maana halisi.
Mfano uzuri ukubwa au madini ya pete ni muhimu kuliko kujitoa kwa mwnezako?
Mimi pete yangu sivui inakuwa kwa ajili yangu mwenyewe kunikumbusha agano langu mwenyewe, kwa mdomo wangu, mbele ya altare ya mungu wangu kuwa huyu ndie ataekuwa mume wangu hadi kifo.
Pete hii inanikumbusha mimi
sio wengine
na pia nikiona kaivaa nafurahi, nahisi kama na yeye anakumbuka agano lake na mungu wake.
Mimi ni kati ya wale ambao huamini ishara zinasaidia, mfano, bendera, uniform, kanzu, mwezi, msalaba badge etc
 
Vaa pete mkuu,utaizoea tu mwanzoni huwa inasumbua kiasi ila baada ya muda utaona kawaida,ant you proud of being married guy!you are supposed to feel that you are in a different group and now you are somebody's husband.To me it's somekind of sho-off an am happy to have it,yangu sasa hivi inanibana hivyo naivua nikiwa nyumbani ila nikitoka tu ninayo, mpaka imefikia stage nikitoka nyumbani bila ya pete na-feel kama nimetoka bila ya kuvaa chupi.
 
duh, nimependa hii maana umeandikia kwa kifupi na maana yake ni kubwa sana!!!!yes kama wanavyokuwa wakifungishwa ndoa huambiwa ''mwenzangu chukua pete hii, iwe ishara ya upendo wangu kwako na uaminifu wangu kwako........" so kaka, maji ukiyavulia nguo huna budi kuyaoga, na ukipenda ua penda na ua lake...Mungu akufanyie wepesi Inshaallah!
Pete ni ishara ya upendo kwa mwenzio
 
Hakuna lolote, uaminifu na upendo ni wa mtu binafsi katika moyo wake, unaweza ukavaa pete na bado usiwe mwaminifu wala usiwe upendo wa kweli kwa mkeo au mumeo.

Pete ni ishara ya upendo na uaminifu.
 
Unajua maana ya ishara (signal kwa kidhungu)? Sasa kama wenye (Pete)ishara si waaminifu unategemea kukutana na waaminifu kwa wasio na ishara (wavua pete zao)???? What I mean, unategemea wale wasiopenda kuvaa pete zao muda wote watakuwa na chembe ya upendo na uaminifu???

Nikienda deep kuna upendo na uaminifu; kuna wanaoamini (including me) kuwa mtu anaweza cheat na akawa bado anampenda sana tu mkewe; amechiti kwa sababu ya mhemko. Mtu wa hivyo hatakaa avue pete yake ili huyo anayechiti nae ajue fika kuwa yeye ni the other woman/man, na asithubutu kujionyesha na kujitangaza adharani kuwa wana uhusiano.

Mme wangu akichiti huku kavua pete najua fika amenikana. Nadhani hata hao watembea na waume za watu mioyoni wanaumia kuona jamaa kavaa pete alopewa na my wife mbele ya padre na mashaidi; but if the lady he is cheating with is not a prostitute. Lol.

Hakuna lolote, uaminifu na upendo ni wa mtu binafsi katika moyo wake, unaweza ukavaa pete na bado usiwe mwaminifu wala usiwe upendo wa kweli kwa mkeo au mumeo.
 
me nakuunga mkono,mguu,kichwa na mwili mzima. nyakat hz pete imebak km ishara tu kuwa flan kaolewa/kaoa. ina dhana ya pete km upendo na uaminifu iko ICU yan inakaribia kufa! watu wanacheat kwa kwenda mbele ndo mana huachi kuckia malalamiko ya nyumba ndogo kila uchao!
charminglady,

Kucheat sio lazima kuwepo nymbandogo

Nyumbandogo acheni ziitwe hivyo hivyo....

Maana naona hapa baadhi tunafikiri labda kucheat ni kuwa na nyumba ndogo...nyumba ndogoni level tofuati kabisa
 
Last edited by a moderator:
Unajua maana ya ishara (signal kwa kidhungu)? Sasa kama wenye (Pete)ishara si waaminifu unategemea kukutana na waaminifu kwa wasio na ishara (wavua pete zao)???? What I mean, unategemea wale wasiopenda kuvaa pete zao muda wote watakuwa na chembe ya upendo na uaminifu???

Nikienda deep kuna upendo na uaminifu; kuna wanaoamini (including me) kuwa mtu anaweza cheat na akawa bado anampenda sana tu mkewe; amechiti kwa sababu ya mhemko. Mtu wa hivyo hatakaa avue pete yake ili huyo anayechiti nae ajue fika kuwa yeye ni the other woman/man, na asithubutu kujionyesha na kujitangaza adharani kuwa wana uhusiano.

Mme wangu akichiti huku kavua pete najua fika amenikana. Nadhani hata hao watembea na waume za watu mioyoni wanaumia kuona jamaa kavaa pete alopewa na my wife mbele ya padre na mashaidi; but if the lady he is cheating with is not a prostitute. Lol.

Well said nyumba kubwa....this reflects the maturity in you....
 
Last edited by a moderator:
Nyumba kubwa uzingatie na mazoea ya kutumia hiyo ishara,(pete) mana nna uaminifu wa dhati kwa ndoa yangu na sina mashaka na hili, ila sasa hii pete nahisi kuwa kero mana hata mkono unakua mzito.., najua with time nitazoea, ila langu ni kujua huu ulazima wa hii tamaduni ukilinganisha na uaminifu uliopo kwa ishara yenyewe..
 
Utazoea tu; katika jamii pete ina heshima yake bana. Mimi ni mmoja wa conservatives, lol; nikikuona huna pete na najua una mke na ni mkristo ntajua wewe either unazini tu kwa maana kuwa hujafunga ndoa takatifu; au wewe ndio wale wavua pete ili kuingiza wasichana waadilifu kwenye mkenge wakijua wewe bado upo upo kwanza. Lol.

Mbona mimi mme wangu yuko proud na pete yake; wewe vipi bana; pete ina uzito gani (au mwenzetu una pete ya 2 kgs)na unabeba vizito vingapi zaidi ya pete?:lie:

Nyumba kubwa uzingatie na mazoea ya kutumia hiyo ishara,(pete) mana nna uaminifu wa dhati kwa ndoa yangu na sina mashaka na hili, ila sasa hii pete nahisi kuwa kero mana hata mkono unakua mzito.., najua with time nitazoea, ila langu ni kujua huu ulazima wa hii tamaduni ukilinganisha na uaminifu uliopo kwa ishara yenyewe..
 
Sema unataka kuendelea kudanganya totoz kama huna mke, hapo utaeleweka (Ukimwi Upo usije muua mwenzio)
Tokea utotoni hadi sasa sijawahi kuvaa hata saa ya mkononi, ukiachilia cheni za shingoni, naona kama tabu, sasa tabu imekuja kuwa hii pete ya ndoa, nataka kuitoa kwa kuwa nahisi ni kama foreign body kwenye mwili wangu (irritant object) na mke wangu hataki niivue, je kuna ulazima wowote wa kuivaa muda wote?
nawasilisha..
 
Na ikumbukwe kuwa pete ina maana kwa wakristu tu (correct me if am wrong) sasa ukisema watu wa pwani hawavai pete ni kwa sababu wengi ni waislamu. Kwa mwislamu ukiona amevaa pete eti ni ya ndoa jua anafanya kuiga tu; wao hawana kitu kama hicho.

Tena kuna mtu alinambia mwanamme wa kiislamu hapaswi kuvaa mi gold? Sijuhi alikwa sahihi.

Mimi nawashangaa wakristu ambao leo hii wanaona pete kero; wakatae toka kanisani kuwa mimi ndoa yangu haiitaji pete.

Mfano mi nikikutana na ndugu/rafiki yangu akiwa hana pete yake ya harusi; nta conclude kuwa amesha divorce, sina haja hata ya kumuuliza.

Pete si prerequisite ya kuwa mkristo, haihusiki na imani yako kwa kristo yesu na haikutajwa popote kwenye biblia(that is pete ya ndoa). Fidelity, Commitment and love lies within one's heart and mind- waweza kuisymbolize kwenye pete ukitaka lakini si kushika bango mtu avae coz kama muhuni hiyo pete ndo haitovuka kidoleni na kurudishwa?
Haizuii chochote kwa case ya infidelity so sio muhimu kabisaaaaaaaa!!
 
Ni ukoloni mamboleo tu ndo unaotusumbua (Neo-colonialism), hakuna kitabu cha dini hata kimoja kinataja habari ya pete, mwenye script anitajie....
 
Back
Top Bottom