Hivi Kuna TV stations za Bongo zinazozifikia za Kenya?

Niliona muhutasari wake katika Citizen TV but sikupata muda wa kukiona choe kiliporushwa
Hebu nenda YouTube au Google Poli la Rushwa unaweza kuona.

Mkuu wa chuo Mwanamama Prof yupo nyumbani kwake kaweka miguu juu ya meza huku kakalia sofa, anatoa maagizo tu kama kwamba anamwambwagiza shamba boi wake hahah
 
Nimegutushwa na Tangazo la ITV ya Tanzania kuwa super brand Afrika Mashariki.
Inamaani kituo hiki ni bora kuliko vyote hapa East Africa nzima.

Nakua mzito sana kuamini hili ninapotizama TV stations za Kenya, kama Citizen, KBC, NTV, KTN na K24...
Mbona naona kama ITV haifikii kabisa? In all aspects!!

Au ni nini kigezo cha kuwa super brand??
Sept 3, 2019
Habari za saa saba mchana tarehe 3 September 2019 ITV online. Habari hupatikana ktk platform kibao YouTube, live on air, satellite TV n.k duniani kote.

Source : ITV Tanzania
 
This is big..

Kenya wapo mbali sana kwenye uhuru wa media.

K24 kuna anchor mmoja anaitwa Betty Kyalo ni mrembo na yupo vizuri upstairs namkubali sana
Wengi wa watangazaji wa TV za Kenywa upstairs wapo vizuri sana huku wakitumia lugha kwa ufasaha kabisa na misamiati ya hapa na pale kuleta ladha kwa msikilizaji au mtazamaji unlike kwetu kuna Joji Maratu waaiiiiitiviiiii!

Anaporipoti au kusoma habari unaona kabisa kavaa uwasilishaji, hana woga wa kamera wala waliomzunguka tofauti na kina sie Hosea cheyo au sammapesa
 
Kabisa, jana nliona maafisa wakitinga Chuoni.
Kwakweli Mimi Napenda kuangalia Citizen TV jioni
Ya ni Citizen na sio K24 ingawa wote wanavipindi vizuri sana!

Kama ni habari za Ruto kumshutumu Mzee wa Vitendawili, basi wataunganisha na Clip ya Mzee wa vitendawili au wafuasi wake wajibu tuma hizo.

Pia wanakuwa na historia fupi ya jambo linaloongelewa. Hawaripoti tu ilmradi wameripoti Bali hufanya historical background ya them wanayoielezea

paschal Mayalla sie tunakwama wapi?
 
ITV Super brand Capital TV Tanzania
News in English
Headlines :
- Zanzibar host the 50th Commonwealth Parliamentary Association (CPA) Africa regional conference
- Tundu Lissu case in the High Court
- IGP Simon Sirro visit in Nyakanazi Biharamulo Kagera Region
- the 16th parliament meeting in Dodoma Tanzania and e-government
- Tanzania to benefit from SADC chairmanship
CAPITAL TELEVISION NEWS SEPTEMBER 02 2019.
 
ITV Tanzania
African Leadership Forum 2019

-Former presidents from Nigeria, South Africa, Somalia, Madagascar were among eminent delegates attending the forum

- cross border crimes

- TICAD 2019 Yokohama Japan - Africa summit

Source: Capital TV
 
Ya ni Citizen na sio K24 ingawa wote wanavipindi vizuri sana!

Kama ni habari za Ruto kumshutumu Mzee wa Vitendawili, basi wataunganisha na Clip ya Mzee wa vitendawili au wafuasi wake wajibu tuma hizo.

Pia wanakuwa na historia fupi ya jambo linaloongelewa. Hawaripoti tu ilmradi wameripoti Bali hufanya historical background ya them wanayoielezea

paschal Mayalla sie tunakwama wapi?
Mfano kwa ITV jana kuna habari waliorusha saa mbili inamhusu somebody Molely ambae alikufa kwa majeraha ya ajali ya Moto Morogoro, hiyo habari inawezekana ni mwendelezo wa habari ya jana au juzi.
Wakaisoma kama vile kila mtu aliangalia ITV habari jana yake...no any previous information.
Haikueleweka hata kidogo kwa watazamaji wapya.
 
ITV Tanzania
News in English :

African Leadership Forum 2019

Former presidents from Nigeria, South Africa, Somalia, Madagascar were among eminent delegates attending the forum
- Cross-Border crime
- TICAD 2019 Yokohama, Japan -Africa Summit

Source: Capital TV
 
Sasa TV za kenya hazina ubora angalia citizen ,k24 yaani picha zile hazina quality,zina kama ukungu mwingi..tembelea studio za ITV kisha katembelee za kenya,ITV wanatumia vifaa vya kisasa,kisha angalia views je,ni watu wangapi hufuatilia ITV then kaangalie hizo za kenya zinafuatiliwa na watu wangapi

Utajua ni kwa nini ITV ni super brand TV
 
ITV Capital TV habari za kiingereza ambazo zingehabarisha ulimwengu kuhusu yanayojiri Tanzania wanatuangusha. Mfano youtube unaona screen nyekundu bila picha au mukhtasari mfupi was sentensi kubeba habari husika ya siku.

Hivyo ITV english news inambulia views kiduchu locally na kimataifa hivyo kinachoitwa super brand ITV capital TV news inabidi mfanyie marekebisho ili channel yenu YouTube iwe kivutio kwa watazamaji wa kimataifa.
 
Nimegutushwa na Tangazo la ITV ya Tanzania kuwa super brand Afrika Mashariki.
Inamaani kituo hiki ni bora kuliko vyote hapa East Africa nzima.

Nakua mzito sana kuamini hili ninapotizama TV stations za Kenya, kama Citizen, KBC, NTV, KTN na K24...
Mbona naona kama ITV haifikii kabisa? In all aspects!!

Au ni nini kigezo cha kuwa super brand??
Una utaalam kwenye hiyo tasnia?
 
Usiwe mjinga kama mtu asiyekwenda shule. Kinachoshindanishwa kwenye ubora wa vituo vya luninga si ubora wa majengo au samani za ndani bali ni ubora wa maudhui ya vipindi vinavyorushwa katika kuhabarisha, kuelimisha na kuburudisha jamii.
 
Huwezi amini. Mimi toka ninunue DSTV sijawai angalia tv za bongo. Naangalia tv za kenya. Vipnd vyao vya kijasiliamali vinaelimisha sana.
 
Back
Top Bottom