Hivi kuna mashirika ya umma yaliyolaumiwa kutafuna pesa hovyo kama haya?

MAHANJU

JF-Expert Member
Aug 26, 2014
5,244
7,966
-TPA:
Hapa watu walipiga pesa mpaka billion 1 inaandaa sherehe ya Siku 1.

-TANESCO:
Hapa siongei sana kila mtu hata Mtoto mdogo anajua.

-TPDC:
Hapa mishahara ya watumishi na Posho ukisikia utatamani kuihama nchi.

-TTCL:
Binafsi mpaka sasa sijui Lina kazi au faida gani kwa umma.

-UDA:
Hili hata nasikia juzi juzi bwana mkubwa mmoja kauliza "Nani mmiliki wa hili shirika? Watu kigugumizi!
 
Usahihi! Ni TPA si PTA yaani mamlaka ya bandari Tanzania.
 
Ongeza na NHC hapo au pango la wala rushwa. Mkurugenzi Mkuu anavuta renumeration fee ya 35 mil kwa mwezi na hii ni tofauti na posho na maslahi mengine.

Sidhani kama kuna shirika la umma ambalo DG anavuta mshahara mrefu kama wa pale NHC. Dkt Magufuli timua huyo, wapo majembe kibao tu huku mtaani wanaweza kazi hiyo hata kwa mshahara wa mil 7 tu kwa mwezi.
 
Mkuu unamfahamu huyo jamaa vizuri? Unajua kabla ya uteuzi wa kua DG wa NHC alikua nani na huko kwenye hiyo kada wanavuta ngapi? Tuweke hayo pembeni ya marupurupu uliyoyataja, ameleta tija NHC? Unauzungumziaje utendaji wake wa kazi, je ameibadili kwa kiasi gani NHC? Shukrani
 
Ongeza na NHC hapo au pango la wala rushwa. Mkurugenzi Mkuu anavuta renumeration fee ya 35 mil kwa mwezi na hii ni tofauti na posho na maslahi mengine.

Sidhani kama kuna shirika la umma ambalo DG anavuta mshahara mrefu kama wa pale NHC. Dkt Magufuli timua huyo, wapo majembe kibao tu huku mtaani wanaweza kazi hiyo hata kwa mshahara wa mil 7 tu kwa mwezi.

Ndg HAMY-D mara nyingi Mimi na wewe hua tunatofautiana kimisimamo lakini kwa hili nakuunga mkono! Ila huyo DG wa NHC ni bora kidogo maana hilo shirika linaingiza angalao billion 9 kwa mwezi kama faida ingawa serikali imepeleka pesa nyingi sana kuwekeza kwenye miradi hiyo! Ila kwakweli hali inatisha, TTCL hata senti moja ya faida hakuna zaidi ya hasara,lakini shirika linapumua tu jamani.
 
-TPA:
Hapa watu walipiga pesa mpaka billion 1 inaandaa sherehe ya Siku 1.

-TANESCO:
Hapa siongei sana kila mtu hata Mtoto mdogo anajua.

-TPDC:
Hapa mishahara ya watumishi na Posho ukisikia utatamani kuihama nchi.

-TTCL:
Binafsi mpaka sasa sijui Lina kazi au faida gani kwa umma.

-UDA:
Hili hata nasikia juzi juzi bwana mkubwa mmoja kauliza "Nani mmiliki wa hili shirika? Watu kigugumizi!

Umesahau Moja ambalo linahujumiwa na kukamuliwa kila siku nalo ni CHADEMA, inaniuma sana kwa maana hizo ruzuku ni kodi yangu!
 
Tanesco unaionea ndugu, kwa hayo mengine sawa

Hakuna mtu anaowaonea TANESCO, Ulizia vikao vya bodi vinavuta kiasi gani! Unafikiri wanaojuhumu wanatokea nje ya TANESCO na wizara? Kuhujumiwa si ndio pesa kupigwa huko? Ulizia linaingizia serikali faida kiasi gani?
 
Umesahau Moja ambalo linahujumiwa na kukamuliwa kila siku nalo ni CHADEMA, inaniuma sana kwa maana hizo ruzuku ni kodi yangu!
Hapa tunazungumzia Mashirika ambayo yanaendeshwa na serikali, sijazungumzia sisasa humu! Yaani kuna watu ni wabovu humu jamani duh!
 
Ongeza na NHC hapo au pango la wala rushwa. Mkurugenzi Mkuu anavuta renumeration fee ya 35 mil kwa mwezi na hii ni tofauti na posho na maslahi mengine.

Sidhani kama kuna shirika la umma ambalo DG anavuta mshahara mrefu kama wa pale NHC. Dkt Magufuli timua huyo, wapo majembe kibao tu huku mtaani wanaweza kazi hiyo hata kwa mshahara wa mil 7 tu kwa mwezi.
wewe ni mnafiki sana,ulikuwa ukitetea haya mambo na washenzi wenzio
 
Ongeza na NHC hapo au pango la wala rushwa. Mkurugenzi Mkuu anavuta renumeration fee ya 35 mil kwa mwezi na hii ni tofauti na posho na maslahi mengine.

Sidhani kama kuna shirika la umma ambalo DG anavuta mshahara mrefu kama wa pale NHC. Dkt Magufuli timua huyo, wapo majembe kibao tu huku mtaani wanaweza kazi hiyo hata kwa mshahara wa mil 7 tu kwa mwezi.

Sasa naelewa kwa nini alikuwa kwenye Team-Lowassa wakati wa kampeni. Inasemekana alitoa mchango mkubwa kusupport CDM.
 
Ayayayaaaa! Hapa ndipo nchi inakoliwa, na ndiko uchumi wa nchi ulikolala.
Rais kwenye wizara inayohusiana na hili shirika anatakiwa kuweka mtu mfano wake.Kagasheki hapa alikuaga kiboko lakini walikuja kumhujumu wasaidizi wake.Nampa pole kwa kupoteza jimbo.
 
Hivi ni shirika gani aluzungumzia JPM wanafanyia mikutano ya Bodi kule Dubai?
Watu wana matusi kweli kweli.
Bongo hakuna sehemu ya kufanyia mkutano hadi hadi waende Dubai?
Posho kubwa na ticket za ndege first class. Harafu tunasema nchi maskini hii?
 
Tanapa na TRA mbona umeyasahauu??

Wizara ya maliasili na utalii walilalamikiwa kufanyia miktano Serena hotel ilihali pale wizarani Mpingo house kuna bonge la Ukumbi! Hapa Lazaro Nyalandu lundo la lawama hizi hatazikwepa.
 
Back
Top Bottom