Hivi kuna madhara yoyote kwa mke kuangalia na kumtumia mume links za porn sites?

mkuu Ras inaonyesha hukai Tz ....au ungelikwisha jua Hisani ya watu wa Marekani inahusiana vipi na ndoa za watu wa Tanzania .....:usa2::usa2:
 
Mkuu,

kwanza hizo links anazokutumia ulishawahi kuzipitia na kuangalia zote?
Kuna ujumbe mkeo anakutumia, na kwa maana nyingine ningeweza sema anashindwa jinsi ya kukuambia moja kwa moja. Labda ungepost hizo links hapa, pengine wadau wangeweza "kukusomea" message unayotumiwa.

Cha msingi ni kwamba, porn sio kitu kizuri sana, me binanfi sitafurahi mpenzi/mke wangu anitumie hizo links.

Lakini, jua kwamba, kama kuna kitu mkeo anataka na huumpi, basi atatafuta mtu wa kumpa, au pengine kuna mtu anampa, sasa roho inamsuta anataka aachane na huyo jamaa, lakini anataka akimwacha aendelee kukipata kwako.

Kitendo cha mkeo kuchelewa kufika kileleni inawezekana ile raha imepungua, pengine angependa ufanye kitu fulani na hapo hufika kileleni haraka.

Mkuu hebu mjaribu tiGo atakuwa na uzoefu kwenye kuangalia online Ushauri huu ni ""kwa hisani ya watu wa Marekani

Me nisingekushauri ufanye huu mchezo. Ila, kwa upande mwingine jaribu kumgusia uone atasemaje. Ili ujue kama hua anafanya au lah!
Huu mchezo mwanamke au mwanaume akiuzoea ni vigumu kuacha, na inawezekana mkeo anataka pia, hivyo anashindwa kuugulia na kubaki kusononeka, mwishowe kuchelewa kileleni.

Mgusie, kama ameanza huo mchezo, wahi kwa wataalamu wa afya mara moja upate kujua cha kufanya!

Hii ndo hali halisi mzee!
 
mkuu Ras inaonyesha hukai Tz ....au ungelikwisha jua Hisani ya watu wa Marekani inahusiana vipi na ndoa za watu wa Tanzania .....:usa2::usa2:

Gaijin, tusiolijua hili tuko wengi sana (nadhani) hebu tudokezee basi nasi tuelewe nini kinachoongelewa hapa. Natanguliza shukrani.
 
Ni kweli unachosema Mkuu lakini tatizo ni kuwa awali alikuwa akifika kilele mapema na bila shida sasa hivi kufika hiyo kilele anadai anafika kwa shida nadhani ni hisia ziakuwa upande huo zaidi!! nadhani wanielewa hapo?

...naam, nimekuelewa vizuri tu. Kwanza naomba nikuhakikishie 'msukosuko' huu wewe si wa mwanzo kukumbwa nao. Asilimia kubwa ya wana ndoa yeshatukumba, ndio maana kila kukicha kwenye jukwaa hili zinazuka topics mpya jinsi ndoa zinavyoyumba.

Mapenzi yalipokuwa motomoto, kuna mambo fulani fulani mlikuwa mnafanyiana, na haswa wewe kwa upande wako ndio unapaswa hasa kujiuliza nini hufanyi kiasi kwamba mwenzako hasisimkwi ki vile. Wengi walikwisha zungumza siku za nyuma kwamba sex is a psychological thing. Matayarisho ya kiakili yanasaidia sana mwili ku relax na kufurahia tendo hilo.

La mwisho ninalokusihi, unapoongea na mkeo jitahidi usimlaumu unapoona hafurahishwi na tendo la ndoa. Hata yeye huenda anatamani hali ingekuwa kama zamani. Huenda naye yupo kwenye dilema na kujiuliza maswali mengi kama ulivyojitolea wewe kuulizia hapa kiasi cha yeye kuchungulia Porn Movies.

Kinyume na hapo, athari zake ni kubwa na za muda mrefu kuliko hatua za haraka unazoweza zichukua wewe binafsi kumhakikishia kwamba hali hiyo ni ya mpito tu.
Nyote mpo kwenye njia za kutafuta suluhisho, Goodluck!
 
Nashukuru sana Man nimekusoma!
 
mkuu Ras inaonyesha hukai Tz ....au ungelikwisha jua Hisani ya watu wa Marekani inahusiana vipi na ndoa za watu wa Tanzania .....:usa2::usa2:
Ni kweli uongeacho Gaijin, sipo Tanzania so bado kabisa sijaelewa hiyo maana ya huo usemi. Kwa sasa nipo nje ya nchi. So naomba kama hutojali nifafanulie huu usemi! TAFADHARI.
 
Mkuu,

kwanza hizo links anazokutumia ulishawahi kuzipitia na kuangalia zote?
Kuna ujumbe mkeo anakutumia, na kwa maana nyingine ningeweza sema anashindwa jinsi ya kukuambia moja kwa moja. Labda ungepost hizo links hapa, pengine wadau wangeweza "kukusomea" message unayotumiwa.

Cha msingi ni kwamba, porn sio kitu kizuri sana, me binanfi sitafurahi mpenzi/mke wangu anitumie hizo links.

Lakini, jua kwamba, kama kuna kitu mkeo anataka na huumpi, basi atatafuta mtu wa kumpa, au pengine kuna mtu anampa, sasa roho inamsuta anataka aachane na huyo jamaa, lakini anataka akimwacha aendelee kukipata kwako.

Kitendo cha mkeo kuchelewa kufika kileleni inawezekana ile raha imepungua, pengine angependa ufanye kitu fulani na hapo hufika kileleni haraka.

Me nisingekushauri ufanye huu mchezo. Ila, kwa upande mwingine jaribu kumgusia uone atasemaje. Ili ujue kama hua anafanya au lah!
Huu mchezo mwanamke au mwanaume akiuzoea ni vigumu kuacha, na inawezekana mkeo anataka pia, hivyo anashindwa kuugulia na kubaki kusononeka, mwishowe kuchelewa kileleni.

Mgusie, kama ameanza huo mchezo, wahi kwa wataalamu wa afya mara moja upate kujua cha kufanya!

Hii ndo hali halisi mzee!
nASHUKURU KWA USHAURI mKUU, SIJUI KAMA NARUHUSIWA KUIPOST HIYO LINK HAPA!! LAKINI KAMA NAKOSEA NAOMBA MNIWIE RADHI wANA jf. LINK YENYEWE NI HII SEX OASIS -...
 
nASHUKURU KWA USHAURI mKUU, SIJUI KAMA NARUHUSIWA KUIPOST HIYO LINK HAPA!! LAKINI KAMA NAKOSEA NAOMBA MNIWIE RADHI wANA jf. LINK YENYEWE NI HII SEX OASIS -....

Samahani mzee shemeji anapenda tiGo ukimchelewesha usilaumu uncle Masanilo amekushauri kupitia kwa hisani ya watu wa Marekani vigezo na masharti kuzingatiwa
 
Masa naona hata hizo link za wife wa Ras zimekuja kwa hisani ya watu wa Marekani! Sidhani Kama za Tanzania.

Babu na Ras hamkuiona ile thread ilokuwa ikillalama kuwa hadi matangazo ya ushauri wa ndoa 'ni kwa hisani ya watu wa marekani'!???!

Labda ipo YouTube ngoja niwasakie
 
Samahani mzee shemeji anapenda tiGo ukimchelewesha usilaumu uncle Masanilo amekushauri kupitia kwa hisani ya watu wa Marekani

Ras anaweza akapigwa na mshangao wa hali ya juu kama shemeji atamwambia, "ndiyo hii kitu mimi napenda sana nataka iongezwe kwenye menu."
 
nASHUKURU KWA USHAURI mKUU, SIJUI KAMA NARUHUSIWA KUIPOST HIYO LINK HAPA!! LAKINI KAMA NAKOSEA NAOMBA MNIWIE RADHI wANA jf. LINK YENYEWE NI HII SEX OASIS - ...

Mkuu Futa Haraka kabla INVISIBO au ROBOT hajapitia maana siyo mahala pake hapa! Otherwise wife wako anataka tiGO! Kaa naye uongenee naye nini maana ya Hizo Links, muoneshe kama unazifurahia na yeye atakuwa Huru kukueleza!

This is JF Message kwa Hisani ya Wanugu
 
Masa naona hata hizo link za wife wa Ras zimekuja kwa hisani ya watu wa Marekani! Sidhani Kama za Tanzania.

Babu na Ras hamkuiona ile thread ilokuwa ikillalama kuwa hadi matangazo ya ushauri wa ndoa 'ni kwa hisani ya watu wa marekani'!???!

Labda ipo YouTube ngoja niwasakie
Ntafurahi kuiona Gaijin! labda itanisaidia kujua nini maana ya huo usemi naona inakuwa ngumu kwenu kuniambia!
 
Imebidi nifunge milango nicheki hizo links, tena kwa privacy session lol!

Hapo Ras ongea vizuri na mwenzio. Hata mimi napata wasiwasi. Jaribu kutumia akili zaidi kuliko hisia uokoe jahazi la ndoa. La sivyo utakuwa njia panda muda si mrefu!

Una uhakika hakuna ka mchezo mkeo ameanza hivi karibuni? Embu fanyia kazi. If possible, utupe majibu hapa jamvini!
 
Nimejaribu kukaa naye na kuzungumza kwa undani kuhusu athari za hili jambo na nini anataka kwa kufanya hivo. Anasema amenielewa kuhusu madhara na hiyo link yenyewe aliipata ni juzi tu hapa. Anasema lengo lake yeye ni kujifunza jinsi ya kufanya sex vile kama unakumbuka nilisema nilimkuta akiwa kigori (ofkoz nimemfundisha sex act). Ameahidi kutoifungua tena hiyo web na za aina yake, ila kaniomba kama nina sites ambazo ni za kufundisha hayo mambo kimaadili na zinazolenga familia na si biashara ya ngono nimpe.OMBI KWENU: Kama kuna yeyote anayezijua site hizo naomba msaada :pound:.

Hapo kamchezo unamaanisha nini Mkuu? kutoka nje ya ndoa, kuliwa tigo? kumastabate au? Kuhusu hilo sina uhakika 100% lakini nina uhakika kiasi fulani. Pia nilisahau kuwajuza kuwa mimi na huyu wife wote tupo nje ya nchi yaani pamoja, na ndoa yetu ina mwaka mmoja kwa sasa (Still very young huh??!!:frusty:)
 
Ras...... Huko ughaibuni watu hawaoni tabu kuzungumzia tendo la ndoa..... Utamsikia mnugu 'my baby likes to eat me' Kisha anaendelea analiwa vipi !
Sasa Kama mkeo anaenda kazini au ana marafiki huko lzm atakuwa anaathiriwa na maneno Kama hayo hasa vile yeye mgeni kwenye shughuli, labda ana umri mdogo pia na labda hajajua Namna ya kukabiliana na watu wanaomhadithia kuhusu sex life zao.

Mimi naona Ras hujakijua kiini cha tatizo na Kama ni kweli amekuwa influenced na maneno ya marafiki kwenye hili atakuwa mwepesi wa kuwa influenced na mengine yenye athari kubwa zaidi.

Abiria chunga mzigo wako!
 
:A S-confused1:
 
Ras...... Samahi Kama nitakukwaza

Hivi mkeo Ana umri gani na amefika lini ughaibuni?

(nahisi hapo pazuri pa kuanzia kujua mzizi wa tatizo)
 
Mkuu hebu mjaribu tiGo atakuwa na uzoefu kwenye kuangalia online Ushauri huu ni ""kwa hisani ya watu wa Marekani ""

MASANILO...MASANILO...MASANILO.........! SISEMI KUWA UMEPOTOKA BALI NASEMA HIVI...what are doing to the society masa.........angalia kuna watoto na wajane......mapadri kwa maaskofu.....kina wanasiasa slaa na wazee wa kijijini....please my learned brother........futa usemi kulingana na meseji yako......SAY NO EVIL...E.T.C
 
Je, labda sio wewe sasa ndio unawahi kumaliza ndio maana unaona kama yeye ndio anachelewa? Je, wewe una muda maalumu wa kupiga gemu, say, 90 minutes kila gemu? Je, malalamiko yako ya nini kama unapumzi ya kwenda naye mpaka anamaliza gemu au wewe una matatizo ya pumzi? Au unapiga pre-mature mzee?! Kwa kawaida wanawake uchelewa na wanaume wanawahi kufikia climax, kwa maana hii mkeo anarudia hali yake ya kawaida! Anakuletea porn kwa sababu wewe sio creative na innovative kwa kuzingatia maadili mema kwenye kazi hii.

Kwanza huyu kweli ni mkeo? Kama ndio, je manamawasiliano kweli? Kaa naye chini na mjadili tatizo? Je, yeye umekwisha mweleze shida yako? Yawezekana ya kwako kaiona ndio maana anaitibu kwa kukuletea info - porn!!! Naomba umlete kwangu nimwangalie kwa wiki hivi ili niweze kujua kama yeye ndio mwenye tatizo. Kujua kama wewe ndio mwenye tatizo, nitakutafutia CD na kumlipa vizuri kwa kazi hiyo kwani siwezi kukupa mke wangu kwani utamfanyia kitu wanaita 'dangling a carrot on someone'.
 
Back
Top Bottom