Hivi kipimo cha mapenzi ni kipi?

Well, kitu cha kwanza kabisa she married you...afu lile tunda lake anakupa wewe tu.

Mengine ni lazima muwe mnagombana gombana, mana kwenye ndoa kama hakuna ugomvi ugomvi basi hampendani.

Ukiona mtu na mke wamekaa mwaka mzima bila kugombana, ujuwe wana matatizo hao ya kiakili.

Hakuna maisha mazuri kama ya kugombana gombana na mke wako.

Aisay mke wangu kama hajakasirika mda wa mwezi lazima nianzishe vita ya aina yoyote mpaa nione kakasirika :biggrin:
 
Unapimaje kuwa mwenzio anakupenda?

a) tabasamu lake
b) kicheko chake?
c)kauli zake motomoto?
d) mapochopocho yake kwako?

Hivi unapimaje penzi na kujua huyu mtu kweli anakupenda na wala siyo anavutwa na mafanikio yako pekee yake................na wewe kugeuzwa kuwa chambo?

Ni ngumu kupima penzi.

Cha kuzungatia umapokuwa kwenye mahusiano ujue upo kwa sababu gani na timiza wajibu wako.
 
Mi nafikiri kipimo cha mapenzi ni kutokuwepo kwa ubinafsi miongoni mwa wapendanao. Mwenzi mwenye mapenzi ya dhati kila jambo/uamuzi anaotaka kuchukua huanza kufikiria utamuathiri vipi mwenzake, ni mshirikishaji na anayedhamini ushauri wa mwenzie hata km hayupo sahihi atamrekebisha kwa kumwelimisha.

Mtu mbinafsi siku zote hana muda wa kuheshimu hisia za mwenzake, anakuwa hamwamini km anaweza, na hivyo kumfanya awe anakosa amani mara kwa mara(love insecurity) hata kama wana mahitaji yote.
 
Upendo wa kweli ni huu hapa..........

"Upendo huvumilia, upendo hufadhili; upendo hauna wivu au majivuno. Upendo hauna kiburi na haukosi kuwa na adabu. Upendo hautafuti kujipendeza nafsi; haukasiriki upesi, hauweki orodha ya mabaya. Upendo haufurahii mabaya, bali hufurahia kweli. Upendo huvumilia yote, huamini yote, hutumaini yote, hustahim ili yote" ( 1 Cor 13:4-7).

Mbarikiwe
 
Ukitaka Kujua hili Mkuu, Kwanza tafuta The definition Of Love. Hiyo nayo inachukua not less than 1000 pages (ikiwa brief) kisha rudi hapa tutakupa uzi zaidi. Dr. Love yumo humu usiwe na wasiwasi
 
Hakuna general kipimo kwani kuna wengine akidundwa ndio anahisi anapendwa, mwingine akipewa jala frequentl, wengine outing n like.. so its quet complicated yaan u can't b 100% sure kwamba sm1 is truly in lv jas bz he/she has done ths o tht...

jala frequent ndiyo nini? Mbona umeniacha kwenye mataa
 
Ukitaka Kujua hili Mkuu, Kwanza tafuta The definition Of Love. Hiyo nayo inachukua not less than 1000 pages (ikiwa brief) kisha rudi hapa tutakupa uzi zaidi. Dr. Love yumo humu usiwe na wasiwasi

iko wapi hiyo definition? Nikaitafute sasa hivi
 
Upendo wa kweli ni huu hapa..........

"Upendo huvumilia, upendo hufadhili; upendo hauna wivu au majivuno. Upendo hauna kiburi na haukosi kuwa na adabu. Upendo hautafuti kujipendeza nafsi; haukasiriki upesi, hauweki orodha ya mabaya. Upendo haufurahii mabaya, bali hufurahia kweli. Upendo huvumilia yote, huamini yote, hutumaini yote, hustahim ili yote" ( 1 Cor 13:4-7).

Mbarikiwe

nimeshiba hapa...
 
Ni ngumu kupima penzi.

Cha kuzungatia umapokuwa kwenye mahusiano ujue upo kwa sababu gani na timiza wajibu wako.

wajibu waweza kuwa na tafsiri nyingi....................waweza kwa mfano kutimiza wajibu kwa wapenzi wengi na wote kukuona unawapenda?
 
Upendo wa kweli ni huu hapa..........

"Upendo huvumilia, upendo hufadhili; upendo hauna wivu au majivuno. Upendo hauna kiburi na haukosi kuwa na adabu. Upendo hautafuti kujipendeza nafsi; haukasiriki upesi, hauweki orodha ya mabaya. Upendo haufurahii mabaya, bali hufurahia kweli. Upendo huvumilia yote, huamini yote, hutumaini yote, hustahim ili yote" ( 1 Cor 13:4-7).

Mbarikiwe

Kweli, I agree: the best SI unit of love
 
Kuweza shida majaribu yanayowapata...

kweli hapo utalipima penzi la mwenzio kama tayari mko wote lakini kama ndiyo upo hatua za awali za kumtathimini changamoto hizi zinakuwa bado hazipo.......
 
A-D, zote can be fake!
Kwa vigezo hivyo it is next to impossible to know! What u can be sure of, ni wether wampenda or not; just like yeye anaweza asiwe sure kuwa wampenda au wamtamani, what if wrinkles zikianza will u still love her, au akipata ajali etc. Either way it is not healthy, love her unconditionally and that LOVE will do miracle

swali bado hujalijibu..........utafahamuje kuwa kweli anakupenda? Dalili zake ni zipi?
 
Dah! Kaunga.... I meant kuvumilia obstacles ambazo mwapata (na za weza changia kuvunja penzi lenu); kama vile wakati wa ugonjwa, wakati wa kipato kidogo that life sometimes is always impossible na the like....

Hio mifano.... That is not loving... that is more sticking around because of need...

hapo kwenye red umeniacha mbavu zaniuma.................
 
Mimi ni ukarimu wake na anavonithamini
mfano kunipigia simu ? Ni kila siku,wk au mwezi?
Anavonithamini mimi ni no ngapi katika mambo yake ninakuja baada ya yote au nipo mwanzo mwanzo
ukarimu wake kwangu
 
Mimi ni ukarimu wake na anavonithamini
mfano kunipigia simu ? Ni kila siku,wk au mwezi?
Anavonithamini mimi ni no ngapi katika mambo yake ninakuja baada ya yote au nipo mwanzo mwanzo
ukarimu wake kwangu

tatizo la mwanadamu siyo rahisi kuusoma moyo wake................aweza kuwa mkarimu ili kutimiza lengo lake...................na baada ya hapo akaja kukufunulia undani wake aliouficha siku nyingi ukashangaa kama ni yeye, vile.............kwa maoni yangu ki9pimo ni uwezo wako kuusoma kilichopo moyoni mwake zaidi ya majungu ambayo umeyasikia au hata kuona.........
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom