Hivi kipimo cha mapenzi ni kipi?

Rutashubanyuma

JF-Expert Member
Sep 24, 2010
219,470
911,173
Unapimaje kuwa mwenzio anakupenda?

a) tabasamu lake
b) kicheko chake?
c)kauli zake motomoto?
d) mapochopocho yake kwako?

Hivi unapimaje penzi na kujua huyu mtu kweli anakupenda na wala siyo anavutwa na mafanikio yako pekee yake................na wewe kugeuzwa kuwa chambo?
 
Hakuna general kipimo kwani kuna wengine akidundwa ndio anahisi anapendwa, mwingine akipewa jala frequentl, wengine outing n like.. so its quet complicated yaan u can't b 100% sure kwamba sm1 is truly in lv jas bz he/she has done ths o tht...
 
Mimi nafikiri kila mtu angejitahidi kupenda yeye bila kuanza kuchunguza kama anapendwa back in return, dunia ingekuwa mmhmwah!

Assume, u love her sana, na wajitahidi kumpenda kila siku, hauchunguzi wala kuwa worked out by her weakness; on the other hand she also do the same, wewe unaionaje hiyo?

Tunategemea kufanyiwa zaidi na wenzi wetu (ku-receive)
-kupendwa zaidi
-kuwa cared zaidi
-kuwa respected zaidi
-kuwa spoiled etc
Kuliko kijishughulisha (ku- give)
 
Unapimaje kuwa mwenzio anakupenda?
a) tabasamu lake b) kicheko chake?
c)kauli zake motomoto?d) mapochopocho yake kwako?
Hivi unapimaje penzi na kujua huyu mtu kweli anakupenda na wala siyo anavutwa na mafanikio yako pekee yake................na wewe kugeuzwa kuwa chambo?

A-D, zote can be fake!
Kwa vigezo hivyo it is next to impossible to know! What u can be sure of, ni wether wampenda or not; just like yeye anaweza asiwe sure kuwa wampenda au wamtamani, what if wrinkles zikianza will u still love her, au akipata ajali etc. Either way it is not healthy, love her unconditionally and that LOVE will do miracle
 
Kuweza shida majaribu yanayowapata...

Fafanua kidogo, kama yapi? Na kama lengo langu ni halijatimia (say kukuua nirithi mali) don't u think nitakuwa by ur side as a loving, caring n faithfull wife all the time? Hiyo ni kwa mdada.

Kwa mkaka,
Tuna watoto, n u r a good mom n l am in love with this chick but she will never be a good mother to my children, huoni Kama nitastick na wewe for the sake of my children, while having fun with that sexy chick?
 
Dah! Kaunga.... I meant kuvumilia obstacles ambazo mwapata (na za weza changia kuvunja penzi lenu); kama vile wakati wa ugonjwa, wakati wa kipato kidogo that life sometimes is always impossible na the like....

Hio mifano.... That is not loving... that is more sticking around because of need...
 
Unapimaje kuwa mwenzio anakupenda?

a) tabasamu lake
b) kicheko chake?
c)kauli zake motomoto?
d) mapochopocho yake kwako?

Hivi unapimaje penzi na kujua huyu mtu kweli anakupenda na wala siyo anavutwa na mafanikio yako pekee yake................na wewe kugeuzwa kuwa chambo?
Mapenzi ni hisia zaidi ambazo zinaji-express kwenye matendo kadhaa wa kadhaa. haya uliyoyaorodhesha ni kati ya matendo hayo
 
Kipimo cha mapenzi siku zote huwa kinategemea na jinsi mlivyoanza kupendana! Nasema hivo kwa maana kuna wanaume huwa wanatanguliza pesa kutongoza akina dada then baadae wanjidai hawanazo so akina dada wanahisi wamesalitiwa! Ila kama ulimpenda mwenzio ktk matendo kama hayo hapo juu basi utampima kwayo! Lakini siku mapenzi hayana kipimo maana hawa wasichana wa siku hizi wamekuwa kama robots.
 
Dah! Kaunga.... I meant kuvumilia obstacles ambazo mwapata (na za weza changia kuvunja penzi lenu); kama vile wakati wa ugonjwa, wakati wa kipato kidogo that life sometimes is always impossible na the like....

Hio mifano.... That is not loving... that is more sticking around because of need...

ADii; sasa utajuaje mwenzio anastick with u thru thick n thin kuwa because s/he loves you?
Mimi naona sio rahisi au kupima penzi la mwenzio kwako but ni rahisi kupima penzi lako kwake!
 
ADii; sasa utajuaje mwenzio anastick with u thru thick n thin kuwa because s/he loves you?
Mimi naona sio rahisi au kupima penzi la mwenzio kwako but ni rahisi kupima penzi lako kwake!

Asante Kaunga...ni kweli ni rahisi sana kujijui binafsi unampenda kiasi gani mwenza wako, Lakini huwezi katu kuusemea moyo wa mwingine.
 
Haya mambo mwisho wa siku ni imani tu, maana mtu anaweza kujifanya 'kukupenda kwa dhati' kumbe patupu. Sipendi kufikiria huko ila ndo ukweli...
Kweli kabisa tukubali tukatae ni kuwa mapenzi hayana kipimo...kuna watu ni mabingwa wa kuigiza kwenye hii dunia mpaka raha...sasa ole wako uchukulie uigizaji kama kipimo cha mapenzi siku ukigundua utalia na kusaga meno...
 
Hakuna kipimo halic zaidi ya kuwa na iman kupitia matendo ya mwenzio ambayo kupitia hayo hayo utaweza kujua hapa hakuna kitu!kwan mara nyingi mtu kuahidi au kusema kitu kwa maneno huwa ni rahic lkn akikuonyesha upendo wake kwa vitendo ndipo tunapata iman kuwa tunapendwa!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom