Hivi katika nchi Hii ni wapemba tu wenye uwezo wa kupambana na CCM tu

Shocker

JF-Expert Member
Sep 15, 2012
1,951
3,826
Najiuliza kila wakati hivi katika Nchi hizi mbili zilizoungana yaani Tanganyika na Zanzibar ni watu au raia kutoka Pemba tu ndio wenye ujasiri wa kupambana na CCM kwa hali na mali?

Hili suala au kadhia ya mapambano ya kisiasa imefikia tujiulize inakuwaje ni watu kutoka Pemba tu ndio wana ujasiri wa kupambana na CCM katika nyanja zote za kisiasa na kusema kweli Wananchi kutoka Pemba wana ujasiri uliotukuka sana wa kupambana na CCM na tarehe za kisiasa za vyama vingi ,zinaonyesh hilo ,hadi leo CCM imeharamishwa katika kisiwa cha Pemba kwa maana kwenye uchaguzi CCM hawapati kura za ushindi na wananchi wa pemba wamefikia uthubutu wa kustanda na vyombo vya dola juu ya kuidai na kuisimamia haki yao

Pemba haitawaliki kila anaebebeshwa mzigo wa kuwa kiongozi wa serikali ndani ya Pemba anaishi kwa wasiwasi ,hana raha yupo yupo tu . Anajua fika wapemba hawakuichaguz CCM na kwa hivyo hana wasikilizaji na uchangamfu kwa wananchi kikawaida haupo mitaani.
Viongozi wa serikali hawaonekani mitaani yote tisa la kumi .Ni lazima vikosi vilivyosheheni zana ndio huonekana kila wakati wa uchaguzi Pemba hadi kufikia kuaibka pale wnapokurupushwa na kukimbia na kukimbizwa wakiwa wamebeba masanduku ya kura feki.

Lini WaTanzania wataungana na kufikia steji waliyofikia wananchi wa Pemba,WaPemba wapo tayri kufa na hili ni la uhakika na linajulikana mbele ya kudai haki wananchi waPemba hawataki masihara ,ni Lini wengine wataungana nao ,kuachiwa peke yao tumeona 2001 ,wengine waliona hayawahusu ,wakauliwa waPemba kibao lakini hawakukata tamaa msimamo wao upo pale pale CCM imekataliwa Pemba .

Na wanasema CCM isahau kupata ushindi wa haki ndani ya Kisiwa Cha Pemba ,Je wengine ni lini tutaihakikishia kuwa na pia kuweza kusimama kidete katika kuona haki inalindwa ?
Ela WaTanganyika hayo mwayaweza ?
 
Sababu ni kwamba Pemba ni kisiwa kidogo ambacho karibu wakazi wake wote wanajuana kupitia koo zao hivyo sio kazi ngumu sana kuwaunganisha na kuwa wamoja katika misimamo ya kisiasa, Tanganyika ni kubwa bro, na makabila yapo kibao na opportunistics wa kumwaga ukisema YES wengine watasema NO na wengine watasema YES NO !! KAZI KWAKO MKUU !!!
 
Back
Top Bottom