Hivi Kampuni ya Mabasi ya Ngorika imekumbwa na nini?

Wana mgogoro wa kifamilia juu ya masilahi ya kifamilia.Baada ya baba yao kufa familia imekuwa ikivutana na hasa mtoto mmoja anayetaka kuwa minya wenzake masilahi
hivi mtu hawezi kubadilisha biashara?wamerudi kwenye malori sasahivi
 
..Dar express ndio Kiboko ya hiyo barabara sasa...kuna Dar express ya saa 12 ni hatari mno....luxury moja Kali sana..scania ina manjonjo kwa mbele(zamani ilikuwa inaenda Nairobi)...Na inapita bagamoyo....hiyo hata kidia one haiifikii.....konda wake sio demu ni chalii mmoja poa sana....dereva wake nimewahi majuzi kumpa mkono kwa kutufikisha Dar saa tisa Na nusu mchana.. Pamoja Na tochi zote...
 
Wote ni mashahidi, mtakumbuka miaka ile kabla ya tochi za trafiki barabarani, jinsi mabasi ya Ngorika yalivyokuwa yanakimbia na kujizolea sifa kubwa kwa njia ya Dar-Arusha.

Ilikua unatoka Dar saa 12 asubuhi saa 6 mchana upo zako Moshi unakula ugali wako home. Mpinzani wake alikuwa Buffalo katika njia hiyo.

Sasa cha kushangaza kama sio kustaajabisha, siku hizi haya mabasi siyaoni kabisa barabarani.
Je nini kimeikumba kampuni hii maarufu ya miaka ya nyuma?
Mzee ngorika alishafariki siku nyingi yale mabasi yalikuwa yanamilikiwa na watoto (family) hivyo walishindwa kuya simamia wakagawana mali kila mtu akachukua chake hivyo kampuni imeshakufa siku nyingi na sio ngorika tuu na bufalo nae kwishiney alobaki baba lao sasa hivi ni kilimanjaro tuu
 
Wana mgogoro wa kifamilia juu ya masilahi ya kifamilia.Baada ya baba yao kufa familia imekuwa ikivutana na hasa mtoto mmoja anayetaka kuwa minya wenzake masilahi
Kweli Ngorika na Buffalo noma.Hilo linalotaka kuwanyonga wenzao si lijue tu hata mwenye nayo kayaacha?Tamaa za fisi hazifai.Well.Ngorika ilikuwa inaenda na kwakweli taarifa za ajali hawakuwa nazo
 
Wote ni mashahidi, mtakumbuka miaka ile kabla ya tochi za trafiki barabarani, jinsi mabasi ya Ngorika yalivyokuwa yanakimbia na kujizolea sifa kubwa kwa njia ya Dar-Arusha.

Ilikua unatoka Dar saa 12 asubuhi saa 6 mchana upo zako Moshi unakula ugali wako home. Mpinzani wake alikuwa Buffalo katika njia hiyo.

Sasa cha kushangaza kama sio kustaajabisha, siku hizi haya mabasi siyaoni kabisa barabarani.
Je nini kimeikumba kampuni hii maarufu ya miaka ya nyuma?
Kafara zime-eksipaya!
 
Upinzani kutoka Kilimanjaro, machame.. Na kapricon ambako magari mengi yameenda huko
 
umenikumbusha mbali sana...

hiyo natoka dar kwenda arusha kipindi nikiwa mwanafunzi wa shule ya sekondar Iliboru...2008

pia nimesoma na mjukuu wake anaitwa Mbeleselo, alikuja kumaliza Computer Sc mlimani...

long time sana
 
MKWEMA ndio alikuwa baba yao kutoka Dar saa 12:00 asub. unafika Arusha saa 6 mchana !
 
Back
Top Bottom