Criss
JF-Expert Member
- Mar 19, 2011
- 858
- 252
HIVI KAMA TAIFA TUNAUHURUMIAJE HUU MUDA TUNAOUTUMIA KUMJADILI BABU?
Nimejaribu kujikaza kwa kuamini labda hili swala la Babu mwaisapile linaweza kupungua kasi yake soon na kuacha mambo ya msingi yaendelee kujadiliwa.
Wakati flani nashawishika kuamini kua wabishaji wakuu ndio wagonjwa zaidi na wanatumia nafasi ya kutoa hoja pingamizi ili waupate ukweli na mwisho wa siku waende wakiwa na uhakika wakutosha kwa mujibu wa prove yao yanguvu waliyoifanya.
Hivi inakuwaje ma great thinker tunaingia kwenye kamtego dhaifu namna hii?
Hebu tufumbe macho na kukumbuka milipuko tuliokua tunaishusha hapa kabla ya huu upupu imelisaidiaje Taifa.
Binafsi nakili yafuatayo
(1) serikari ilishaanza kuendesha inji kwa michango yetu humu anaebisha simlazimishi.
(2)Viongozi walishaanza kuchagua maneno ya kuongea mbele za watu au hata waulizwapo maswali ,otherwise walijua watachanwa live na ma great thinker.
Nikikumbuka mijadala kama DOWANS ,KATIBA MPYA na mingine mingi ilivyoshikiwa bango hapa hadi watawala waliona kabisa wakiendelea kuibana nguvu ya uma hali isingekua shwari mambo yakaanza kufunguka.
Na nakumbuka yule mmiliki wa zamani wa maboti kule pemba (ALI nani vile )alipotia pua watu wakakwangua na jiwe akarudisha wenge mdogomdogo.
Imani yangu hili ni jukwaa makini na lenye mchanganyiko wa mambo ya kila aina lakini tusiwe na tabia ya kung'ang'ania jambo moja mwanzomwisho inadumaza akili wakuu.
Tume yakisanii ishapiga hela ya wavujajasho na kutoka na majibu ya kufikirika naomba kunukuu........(Haitibu lakini haina madhara) nini hii?
Ushauri:_Kama ni matangazo sasa naamini Dunia inajua.
Kama inatibu au laa waliokwenda watakua mashuhuda wetu.
Kama kutakua na madhara tutaanza kuyaona kwa viongozi wetu coz wao itakua rahisi kujua mabadiliko yao jinsi mwanzo walivyokua na sasa walivo kuliko mwananchi mmojammoja.
Naomba mwongozo _Hivi ule moto wa katiba uliishia wapi wakuu?