Hivi kama taifa tunauhurumiaje huu muda tunaoutumia kumjadili babu?

Criss

JF-Expert Member
Mar 19, 2011
858
252
HIVI KAMA TAIFA TUNAUHURUMIAJE HUU MUDA TUNAOUTUMIA KUMJADILI BABU?

Nimejaribu kujikaza kwa kuamini labda hili swala la Babu mwaisapile linaweza kupungua kasi yake soon na kuacha mambo ya msingi yaendelee kujadiliwa.

Wakati flani nashawishika kuamini kua wabishaji wakuu ndio wagonjwa zaidi na wanatumia nafasi ya kutoa hoja pingamizi ili waupate ukweli na mwisho wa siku waende wakiwa na uhakika wakutosha kwa mujibu wa prove yao yanguvu waliyoifanya.

Hivi inakuwaje ma great thinker tunaingia kwenye kamtego dhaifu namna hii?

Hebu tufumbe macho na kukumbuka milipuko tuliokua tunaishusha hapa kabla ya huu upupu imelisaidiaje Taifa.

Binafsi nakili yafuatayo
(1) serikari ilishaanza kuendesha inji kwa michango yetu humu anaebisha simlazimishi.

(2)Viongozi walishaanza kuchagua maneno ya kuongea mbele za watu au hata waulizwapo maswali ,otherwise walijua watachanwa live na ma great thinker.

Nikikumbuka mijadala kama DOWANS ,KATIBA MPYA na mingine mingi ilivyoshikiwa bango hapa hadi watawala waliona kabisa wakiendelea kuibana nguvu ya uma hali isingekua shwari mambo yakaanza kufunguka.

Na nakumbuka yule mmiliki wa zamani wa maboti kule pemba (ALI nani vile )alipotia pua watu wakakwangua na jiwe akarudisha wenge mdogomdogo.

Imani yangu hili ni jukwaa makini na lenye mchanganyiko wa mambo ya kila aina lakini tusiwe na tabia ya kung'ang'ania jambo moja mwanzomwisho inadumaza akili wakuu.
Tume yakisanii ishapiga hela ya wavujajasho na kutoka na majibu ya kufikirika naomba kunukuu........(Haitibu lakini haina madhara) nini hii?

Ushauri:_Kama ni matangazo sasa naamini Dunia inajua.

Kama inatibu au laa waliokwenda watakua mashuhuda wetu.

Kama kutakua na madhara tutaanza kuyaona kwa viongozi wetu coz wao itakua rahisi kujua mabadiliko yao jinsi mwanzo walivyokua na sasa walivo kuliko mwananchi mmojammoja.

Naomba mwongozo _Hivi ule moto wa katiba uliishia wapi wakuu?
 
Mkuu Criss una akili nyingi sana, pongezi kwa kuliona hili, hizi ni mbinu za mafisadi na kwa kweli wamefanikiwa kuwateka watanzania kwani vichwa vya habari kwenye vyombo vyote vya habari kwa takribani mwezi sasa ni kuhusu Loliondo. Dowans iko wapi sasa? watanzania kweli tuna matatizo ya kufanya mambo kwa jazba na kwa msimu.
 
wamtetusahaulisha kwakweli tumeshasahau mambo mengine kila mtu anawaza atafika vipi kwa babu kwanza
 
Na hawa jama walivyo noma kwenye propaganda tuta shaa ,natukifanya mzaha tunaweza jikuta tunaipoteza hii miaka mitano kiulaini kabisa na mwisho wa siku jamaa haoooooo!!!!mmmhhh!!sitamani kuota hii na naamini hawawezi kuzigandisha akili zetu kwa muda mrefu hivyo.

Jamani simaanishi watu waende kwa Babu au wasiende kila mmoja asimame kwenyekile anachokiamini ilatupunguze ule upupu unaotudumaza kiakili.

Hatakama upo kwenyegari unaelekea huko sugua ubongo dondosha pini jiwe la ukweli itakaloleta hoja zenye mashiko na hata ukirudi kwa babu uone kuna angalau hatua moja mbele kwenye hoja uliyo idondosha .na hatapale chini kabisa ukichombweza kwa maneno yatakayo someka safarini Loliondo itatosha tu kujua kumbe babu anaendelea kula vichwa.

Morning u all.
 
kweli bana hoja yako inamsing sasahv watu hawawaz jambo lolote la msingi kwan akil na mawazo yote yapo kwa babu na wanoko wamesahau kaz za maendeleo wanafatilia nan kaenda kunywa kik ombe ili wamchafue kwenye jamii inayomzunguka.jamani tufikirie maisha babu yupo japo afya ni ishu ya msingi.
 
lakini Criss huo muda wa kuanzisha hii topic si unazidi kupotezea muda wa kujadili mambo mengine ya msingi?
 
lakini Criss huo muda wa kuanzisha hii topic si unazidi kupotezea muda wa kujadili mambo mengine ya msingi?
Ni kweli mkuu nikama vile Dereva ule muda anaotumia kumpigia m2 honi siangeutumia 2 kumkwepa hahahahahaaaa!!!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom