Hivi jamani hili likikutokea utafanyaje?

Saint Ivuga

JF-Expert Member
Aug 21, 2008
54,363
58,386
umetoka zako kazini, umeingia ndani umekuta laptop ya mkeo ipo on. unaona ngoja niingie JF one time. unaingia unakuta mkeo hajalog out hapo kweney JF kuangalia profile yake salaale ni NOTFOUND.
 
jamani unataka uelewe kila thread , kama hujaelewa relax utaelewa tu badae

Nimeelewa sana ila kwasababu umekosea na huonyeshi dalili za kurekebisha naomba nikusaidie kwamba unayemuongelea haitwi NOTFOUD bali ni NOT ENOUGH...

Siku njema!
 
nimeelewa sana ila kwasababu umekosea na huonyeshi dalili za kurekebisha naomba nikusaidie kwamba unayemuongelea haitwi notfoud bali ni not enough...

Siku njema!

wewe ni genius .nimekukubali , si unajua huwezi kutumia jina la mtu hapa jf direct bila kuomba ridhaa yake
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom