Hivi inawezekana?

Mapenzi yamepungua km c kuisha kbs!!!haiwezekani mnakaa mji mmoja na umpendae umalize mwezi hamuonani eti ubusy!!!!!hakuna kitu hapo chunguza!!
 
habar, hv kwel Jaman inawezakawa usionane na mpenzi wako takrban mwez na siku kadhaa kwel na sio mtu waubusy kiivyo, japo mawasiliano yapo pale pale but spending time ni zero na haikuwa hivyo... mm ni lady!

uliona hivyo ameanza kunyanyambua nje!so for ma advise chukua chako mapema wangu,hilo litakuwa
limeshakuwa paka shume
 
Haiwezekani hata kidogo kwa sweety! Mji mmoja na siyo busy kihivyo! Never ever!fanya uchunguz haraka sana.
 
habar, hv kwel Jaman inawezakawa usionane na mpenzi wako takrban mwez na siku kadhaa kwel na sio mtu waubusy kiivyo, japo mawasiliano yapo pale pale but spending time ni zero na haikuwa hivyo... mm ni lady!

Kama kakaa kimya , wewe kaa kimyaaaaa mara mbili yake, akipiga simu usipokee, akiandika sms usijibu , atakutafuta mwenyewe. Ila Muungwana akivuliwa nguo hasimami huchutama kuficha aibu yake. Inawezekana katika pitapita ukamkuta sehemu kakaa na kadem kengine, jikaze na usianzishe vurugu endelea na zako na wala usipige kelele kufaidisha wengine. ( kama Utaweza, maana huwa inauma sana)
 
nataman itokee maana ntakuwa nshaelewa chakufanya
 
yan mji mmoja kwel Jaman kaah baadh ya wanaume ni nouma! na anaweza jua npo town na yy Yupo town hata kuntafuta jama. just hi! mnaumiza baadh yenu.kaaah...
je wewe huwa unamtafuta,na kama ukimtafuta huwa anajibu vipi maana tusijepiga kelele hapa kumbe ni mfumo wenu wa maisha.
 
nmeishaaaa uuuuwiiii
wachakuchukua ushaurimoja kwa moja hivyo unaposhauriwa na wewe tafiti kupitia huo ushauri maana waweza kasirika na kuchukua maamuzi kumbe unamuumiza mwenzio.ila jaribu kukaa kimya sana ukiona hakuna jibu kutakuwa na tatizo hapo nakuombea amani ya moyo.
 
Back
Top Bottom