HIVI ILE DHANA YA MWANAmke tabia bado inafuatwa kweli siku hizi?

NJALI

JF-Expert Member
Jan 9, 2014
1,534
1,089
Zamani wanaume walikuwa wakitaka kuoa wanachagua au kuchaguliwa wasichana wenye tabia njema, yaani heshima,adabu,utii na wachapa kazi. Siku hizi vijana wanaweza kukutana na mabinti bar wakapeleka Magetoni na hao hao kuwa wake. Wanaangalia sura, ukubwa wa makalio, maumbo ya mwili, rangi za ngozi, viwango vya elimu na suala la tabia huwa hawali tilii maanani. Mfano mwanaume anasema ingawa wanakuita kicheche lakini nakupenda, kumbe suala la huyo dada kuwa malaya kwa jamaa si tatizo kwa kuwa demu anamvuto mambo shwari anaoa. :) karibuni tuchangie.
 
^^
Wapo wanaotazama tabia njema!
Niwe wa pili kuwapa moyo mabinti wanaojitunza kudumu hivyo, maana wapo wanaume wachache pia wanaojitunza!
If destiny approves, mtakutana
^^
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom