Watz tunachoweza ni kuona makosa tu, siyo vinginevyo. Kwa kukosoa na kufananisha ni First Class. Huyo anayekosoa mwambie atowe mawazo mbadala ya nini kifanyike anakuwa bubu, na wakati huo huo tunataka maendeleo, haiwezekani hata kama wamarekani, wajapan, wachina, n.k watapita kila nyumba kugawa fedha au kujenga miundombinu n.k baada ya muda tutaharibu na kuendelea kulalamika.
Tanzania siyo kwamba hatuna watu wazuri wakuongoza tunao wengi tu.isipokuwa hawajapata na fasi ya kuongoza kutokana na waliopo madarakani kuendelea kung'ang'ania madaraka kana kwamba wao tu ndio wenye uwezo wa kuongoza peke yao.huwezi ukampata kiongozi mzuri au mbaya km aliepo madarakani haja ondoka.hata kagame mwenyewe aliamuwa kuingia msituni ili kuwang'oa viongozi waliokuwa wameng'ang'ania madaraka. bila kufanya hivyo leo kagame mzuri uongozi wake usingeonekana.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.