Hivi huyu ni binadamu au jini?

Hivi kuna JF member hata mmoja aliyewahi kuliona jini kwa macho yake na akaweza kupiga picha?Swali hili likijibiwa labda naweza kuchangia..
 
Hivi kuna JF member hata mmoja aliyewahi kuliona jini kwa macho yake na akaweza kupiga picha?Swali hili likijibiwa labda naweza kuchangia..

Embu nenda chit chat ukaanzishe thread kuhusu hili swala maybe watajitokeza ambao wameshawahi kumuona jini.
 
ha ha ha ha ha ha !! basi usiseme kwa nguvu akina mods watasikia wai compile..nimechoka na ban aixee saivi ni mtoto mzuri! na nimeokoka!!! :lol:

Bora uwe mtoto mzuri. inabidi uache kuaizngua watu wazito kama mimi kama kweli hupendi ban
 
@Young_Master Huy ni binadamu ni mtoto wa Kiarabu na wapo Majini wazuri kuliko binadamu lakini wana wivu sana majini wa kike huwezi kuishi naye wewe binadamu Wivu wake anaweza hata kukuuwa sio mchezo ukimpata jini mwanamke atakupa raha sana ila hutamuweza kuishi nae kwa sababu ya wivu wake ni mkubwa sana.
MziziMkavu Embu niambie jinsi ya kumpata huyo jini mwanamke.
 
Last edited by a moderator:
Mkuu kwani jini mzuri sana enh? ushwahi kumwona au kuwaona majini wangapi? au huwa unawaona? tupigie picha basi utuwekee ili tuweze kujibu hoja yako.

Mimi sijawahi kuwaona ila nasikia kuwa ni wazuri sana kuliko hata binadamu wa kawaida.
 
Back
Top Bottom