Hivi huyu Luhende anayetaka kufanya mageuzi UVCCM ni gamba la kundi gani

PAMBA1

Member
Sep 13, 2011
55
26
kuna huyu kijana nilimsoma kwenye mtanzania ya jumapili anitwa richard luhende eti anakuja kufanya mageuzi uvccm nikawa najiuliza maswali mengi bila majibu huyu kijana alikuwa wapi kufanya hayo mageuzi mpaka aone kumenuka ndo ajitokeze kutaka kufanya mageuzi au tayari naye keshachochewa na magamba wenzake na je anatumiwa na nani huyu gamba tumshugulikie wana jf.
 
Kumbuka maneno ya Yesu mnazareth"sikuja kuwaokoa wenye haki bali wenye dhambi wapate kutubu" so c ajabu huyo Luhende kuibuka wakati huu wa gharika kubwa kwa ccm kwa madai ya kuiokoa. By the way cmjui kabisa huyo jamaa! achana nao tu!
 
Namjua ni kijana Mzalendo anayeweza kuwaunganisha VIJANA WOTE na kuwa kitu kimoja kwa lendo la kuleta sura mpya katika Chama na Vijana...

Tumuunge mkono jamani...
 
Namjua ni kijana mwenye uchungu na taifa lake,,lakini awe makini na mafisadi wasijekumtwaa kwa maslahi yao
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom