Hivi huyu Jf member yupo wapi?

Mr. Bigman

JF-Expert Member
May 7, 2011
2,560
1,299
Alikuwa anakwenda kwa Id hii:INDUME YENE. Sijamwona humu jamvini muda mrefu sana. Je amebadili Id au?
 
Tulishamaliza ni juzi tulimfanyia misa ya kumbukumbu yake....
 
ah wote mbona wapo humu...kawa banned so kaanzisha id nyingine...watu humu kila siku wanakuja na ID mpya hasa kama wakishaharibu
 
Join Date : 27th December 2009

Location : Timbaktu
Posts : 1,809
Rep Power : 785
Likes Received: 550

Likes Given: 136

Wow, siwezi kuamini kama kweli member tena Senior Expert unaweza kutoa comments za namna hii bila kuwa na back up. Unajisikiaje kumuombea mwenzako kifo? Anyway, naamini kila mmoja ataondoka/kufariki kwa wakati wake LAKINI kwa hii comment uliyotoa duh naanza hata kuwa na wasiwasi na integrity yako. Ni jinsi gani unaweza kuwa JF Senior Expert Member kwa comments kama hizi ambazo hazina kichwa wala miguu.

Imenibidi niweke hili jambo straight maana kuna watu wanaonifahamu wamekuwa so disturbed na hizi comments. I hope hizi comments zaweza kuniongezea siku zangu za kuishi ingawa hakuna anayezijua zaidi ya MUNGU. Hata hivyo mimi nakuombea mema katika maisha na shughuli zako.
Ubarikiwe.

Indume ataendelea kuwa Indume.
 
MtotowaMjini,
Kweli wewe ni mtoto wa Mjini. Wa mjini ndiyo wanaweka posts zisizo kuwa na ukweli wowote!!?
Mimi niwe banned kwa lipi? Unapokuwa Sr Expert, you need to talk with the back ups. Sasa tangu lini wewe umekuwa Moderator wa kujua nani kawa banned. I guess vidole vikiwa vinatekenya huku ukiwa huna shughuli za kufanya matokeo yake ndiyo ya ku-post vitu visivyo na ukweli.
Indume atabaki kuwa Indume.
 
Alikuwa anakwenda kwa Id hii:INDUME YENE. Sijamwona humu jamvini muda mrefu sana. Je amebadili Id au?

Mr. Bigman.
Nipo ila shughuli za shamba zimenibana. Unaweza kuni-PM kama una lolote. Hata hivyo nashukuru kwa kuniulizia ingawa Senior Expert members wengine wamekuja na story za kizushi. Yote kheri.
 
Mkuu, nipo Ila natumia ID nyingine kwa sasa. Hiyo uliyoitaja nimeipumuzisha kidogo kwa muda! Just kidding, lol!
 
MtotowaMjini,
Kweli wewe ni mtoto wa Mjini. Wa mjini ndiyo wanaweka posts zisizo kuwa na ukweli wowote!!?
Mimi niwe banned kwa lipi? Unapokuwa Sr Expert, you need to talk with the back ups. Sasa tangu lini wewe umekuwa Moderator wa kujua nani kawa banned. I guess vidole vikiwa vinatekenya huku ukiwa huna shughuli za kufanya matokeo yake ndiyo ya ku-post vitu visivyo na ukweli.
Indume atabaki kuwa Indume.

kwani kama mtu kapigwa ban ni mod pekee ndiyo anayeweza kufahamu??

Si hata member mwingine wa kawaida anafaham kama umelambwa ban.

Utaluka wee lakin ukweli utabaki pale pale mkuu una ID nyingine uitumiayo hapa jamvin.
 
Indume naona ulikuwa Torabora na sasa jamaa kama kakukurupua baada ya kukuzushia, uwe basi unapitapita na kuacha vicomment kidogo ili usiadimike sana.
 
Mmmh huu ni wakati wa kupalilia mazao, tukiendelea kukaa kwenye keyboard bila kuingiza kitu ni balaa.
 
Kwa hiyo Indume = Timbaktu?

Ama kweli mutiple ID oyeeeeeeeee, idumu JF.
Kwa style hiyo nusu ya memba ni mutiple id, mods wana kazi.............

Join Date : 27th December 2009

Location : Timbaktu
Posts : 1,809
Rep Power : 785
Likes Received: 550

Likes Given: 136

Wow, siwezi kuamini kama kweli member tena Senior Expert unaweza kutoa comments za namna hii bila kuwa na back up. Unajisikiaje kumuombea mwenzako kifo? Anyway, naamini kila mmoja ataondoka/kufariki kwa wakati wake LAKINI kwa hii comment uliyotoa duh naanza hata kuwa na wasiwasi na integrity yako. Ni jinsi gani unaweza kuwa JF Senior Expert Member kwa comments kama hizi ambazo hazina kichwa wala miguu.

Imenibidi niweke hili jambo straight maana kuna watu wanaonifahamu wamekuwa so disturbed na hizi comments. I hope hizi comments zaweza kuniongezea siku zangu za kuishi ingawa hakuna anayezijua zaidi ya MUNGU. Hata hivyo mimi nakuombea mema katika maisha na shughuli zako.
Ubarikiwe.

Indume ataendelea kuwa Indume.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom