Hivi huu ujasiri unatoka wapi ?

Observer2010

Senior Member
Oct 29, 2010
195
44
Ninaamini hili suala lishajadiliwa hapa, ila sijawahi kuona thread yake. Na pia ninaamini nilitakiwa niliweke kwenye jukwaa la Dini ila bahati mbaya nikifungua naambiwa sina permission ya kuaccess hiyo page.

Ninachotaka kujua hivi huu ujasiri wa Waislamu kuwatukana Wakristo kwenye hiyo mihadhara tena usiku wakati watu wamepumzika majumbani mwao na wakiwa wameweka vipaza sauti vinavyosikika kila mahali unatoka wapi hasa ? Inamaana vyombo vya usalama havioni kwamba hili ni jambo linalohatarisha sana usalama wa Taifa ?
 
ndugu unaweza kusema hii imetokea wapi? ukatoa mfano halisi?
maana mimi nilidhani tabia hii ya miadhara ya dini inayokwenda kinyume cha sheria zilizopo ilasha pigwa marufuku kwa sana
 
Ninaamini hili suala lishajadiliwa hapa, ila sijawahi kuona thread yake. Na pia ninaamini nilitakiwa niliweke kwenye jukwaa la Dini ila bahati mbaya nikifungua naambiwa sina permission ya kuaccess hiyo page.

Ninachotaka kujua hivi huu ujasiri wa Waislamu kuwatukana Wakristo kwenye hiyo mihadhara tena usiku wakati watu wamepumzika majumbani mwao na wakiwa wameweka vipaza sauti vinavyosikika kila mahali unatoka wapi hasa ? Inamaana vyombo vya usalama havioni kwamba hili ni jambo linalohatarisha sana usalama wa Taifa ?

ndugu muasisi wao alikuwa hivyo tokea mwanzo sembuse wafuasi... ndiye kaanzisha JIHADI - (maana yake ni chuki dhiki ya humanity), alitumia njia ya kuua watu kuwalazimisha kumuamini!! alikuwa katili na muongo mkubwa!!! wafuasi wake pia ni wauaji (wanajilipua wenyewe, wanauwana wao kwa wao kama ilivyo sasa hivi ktk nchi za kiarabu pia wanaua binadamu wengine hasa wasio dini yao, hilo ni kosa kubwa kwao). Doctrine yao imejaa uongo mtupu! Ni watu wa ghazabu kali na maneno makali/yavitisho na kulaani wenzao wakati wote! Hata sasa utaona reaction yao baada ya kusoma threat hii!!
 
Mod futa hii kwenye public forum, ipeleke kule ambako huwa siingiagi... Kwa kina Gavana na MaxShimba na nani sijui...
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom