Hivi hizo kazi mnazosema tufanye kwa bidii tutafanikiwa ni zipi?

danhoport

JF-Expert Member
May 20, 2020
1,607
3,195
Wana JF wenzangu poleni/ongereni kwa majukumu ya hapa na pale tushichoke kupambana.

Kuna huu msemo "fanya kazi kwa bidii utafanikiwa" naona kwangu mimi upo tofauti kabisa, kwanza naombeni mnieleweshe ni kazi zipi za kuajiliwa au za kujiajili mwenyewe ndio za kupaswa kufanywa kwa bidii ili ufanikiwe maana isije kuwa hii kazi ninayofanya haihiitaji ubidii wowote ndio maana sijafanikiwa mpaka hivi sasa licha ya kuifanya kwa miaka 8.

Au labda kazi ni sahihi ila boss niliyekuwa nae ndio sio sahihi?
 
Hata Mimi huwa natafakari hili especially wanaposema tunapofanya kazi tunajenga taifa. Kwenye hustle zangu nimekutana na wazee umri upo mwisho tunafanyaj kazi ngumu za saidia fundi . Toka asubuhi hadi jioni, kwa mwezi mzima unaweza kusanya chini ya laki mbili. Kwangu yalikuwa ni mapito lakini I wondered how can this old man make it?
 
Fanya kazi kwa bidii na malengo.
Kama kazi uliyonayo sasa inafaidisha wengine, tafuta nyingine au ingia kwenye biashara na ufanye kwa kiwango kile kile.
 
Achana nayo fanya ishu nyingine
Wana JF wenzangu poleni/ongereni kwa majukumu ya hapa na pale tushichoke kupambana.

Kuna huu msemo "fanya kazi kwa bidii utafanikiwa" naona kwangu mi upo tofauti kabisa, kwanza naombeni mnieleweshe ni kazi zipi za kuajiliwa au za kujiajili mwenyewe ndo za kupaswa kufanywa kwa bidii ili ufanikiwe mana isije kuwa hii kazi ninayofanya haihiitaji ubidii wowote ndomana sijafanikiwa mpaka hivi sasa licha ya kuifanya kwa miaka 8.

Au labda kazi ni sahii ila boss niliyekuwa nae ndo sio sahii?
 
MOJA YA KAZI ZINAZOLIPA SANA KWA SASA.
JIUNGE NA TEAM YA KUSIFU NA KUABUDU AWAMU HII.
JITOE HASA
JIPENDEKEZE KWAO
SHABIKIA KILA KITU MPAKA UDHALIMU.

BASI MWAKANI MAJIRA KAMA HAYA, UKO KWENYE UTEUZI.
 
Back
Top Bottom