Hivi hizi couple huwa zinaendelea kuwepo after college?

Perry

JF-Expert Member
Feb 24, 2011
10,043
2,000
Heshima mbele wakuu!!jaman,kwa wale mliopitia vyuo vikuu naomba mnisaidie kwa hili,hvi hzi couple tunazoziona huku vyuon,huwa znaendelea kuwepo baada ya wahusika kugraduate au ni just mbwembwe tu na kurushana roho huku vyuoni?
 
Kurushana Roho tu vyuoni,ikifika mwaka wa mwisho wanapigana chini,kunajamaa zangu wawili hapo wamepigwa chini na mademu zao na kuchukuliwa na watu wa nje
 
Asilimia kubwa huwa zinakuwa za kukatiana kiu tu! unajua maisha ya chuoni na mtaani(baada ya kuhitimu ) ni tofauti sana mnaweza kujengeana mbingu mkiwa chuoni baada ya kuhitimu ikalipuliwa na ukata/matarajio yasiyofikika mf. kuchukua muda mrefu bila ya kuwa na shughuli ya kukuingizia kipatato (wanaume), umbali baina yenu baada ya kuhitimu, si unaelewa inawezekana wapendanao hao wanaweza wakawa wanatoka mikoa tofauti nk.

Ukijifanya unajua kupenda chuoni inaweza ikakutokea puani/kuvunjwa moyo, baadhi ya wanachuo wanakuwa na watu wao(walikotoka) siku ya siku unapigwa chini kwa kuwa ulikuwa kidumu 2!....ndoo imejaa tele!..
 
kijana linapokuja suala la distance ndo huwa mwisho wa mapenzi.hakuna love distance .trust me and be patient u wlll see it cheeerz
 
Heshima mbele wakuu!!jaman,kwa wale mliopitia vyuo vikuu naomba mnisaidie kwa hili,hvi hzi couple tunazoziona huku vyuon,huwa znaendelea kuwepo baada ya wahusika kugraduate au ni just mbwembwe tu na kurushana roho huku vyuoni?

Mmmh..kuendelea kwake ni maajaliwa tu ya Mungu kwakweli...kila mtu anakutana na watu wapya after college life.
 
Baada ya koleji kila mtu kimpango wake piga chini vuta kitu kitaani ulichocheza nacho foliti
 
Dah!kuna couple moja nadhan inasoma pande za CASS,yan daily nakutana nayo pale hall 7,wanaonekana wanapendana sana,sa cjui kama nao after college ndo watamwagana au vp?
 
Mi natofautiana na wachangiaji wengine kwasababu sio couple zote zinakufa after college,zingine zinaleta ndoa.la muhimu ni true love tu
 
Heshima mbele wakuu!!jaman,kwa wale mliopitia vyuo vikuu naomba mnisaidie kwa hili,hvi hzi couple tunazoziona huku vyuon,huwa znaendelea kuwepo baada ya wahusika kugraduate au ni just mbwembwe tu na kurushana roho huku vyuoni?

Kaka la muhimu ni kuomba mungu tu kama una mtu wako chuoni, maana huku kwenye business world ni noma hasa kama mwanaume utachelewa kupata shughuli ya kukuingizia kipato,

Vile vile sometimes tunawalaumu wadada bure kwamba ni wasaliti but kiukweli kuna wanaume wadogo wanakila kitu na wanawaka kweli kweli kiasi kwamba hadi wavulana wenzake tunakubali huyu ni noma sasa ndo anakutana na kadem kako after college na wewe husomeki, dada akichungulia salary slip bahat mbaya anakuta 10 million net, na mtu yupo late 20 kwa nini askikudelete fasta,
 
Dah!kuna couple moja nadhan inasoma pande za CASS,yan daily nakutana nayo pale hall 7,wanaonekana wanapendana sana,sa cjui kama nao after college ndo watamwagana au vp?

Lol! usinikumbushe na lunch utawaona hao caf 2 pamoja. si lolote nying huishia hapohapo. zinazowork out labda 5% cz weng wao wakitoka hapo kwishnei!
 
Back
Top Bottom