Hivi, Hiki kipindi kinaelimisha nini?

Kama umri umekimbia na hukumbuki hata masuala ya shule enzi zako yalikuwaje na hutaki kujua sasa wanafunzi wakoje..basi acha kukiangalia badala ya kuponda tu...ama mzee mtu wa kutoka redio na tv ya wafu ?
 
Wewe ndo mke wake?..kama ndiyo mwambie mume wako ujanja wake wa kishamba alivyokuwa anawagonga hao. U18 alikuwa hatakiwi kujitangazia!wakali tulikuwa tunamchora tu!

We Muuza sura mbee sana..mwanaume mzima unaongea vitu ambavyo huna hata evidence..mwanaume kua na tabia za kike hata haipendezi ..hovyo kabisa..yeye amewala hao watoto ulimshikia miguu wakati anawala? nimechukia kwasababu kipindi kinani husu moja kwa moja ..ukome kabisa!
 
Labda kiongozi wewe ni mtu mzima lakini kwa vijana wa sasa wanaelewa na kipindi kinaelemisha, kuna maswali ya papo kwa papo na masuala mengine ya ufahamu, naweza kusema ni kupindi hicho tu chenye kutoa maarifa na kuangalia ubunifu wa vijana wetu walioko katika shule mbalimbali.
 
We Muuza sura mbee sana..mwanaume mzima unaongea vitu ambavyo huna hata evidence..mwanaume kua na tabia za kike hata haipendezi ..hovyo kabisa..yeye amewala hao watoto ulimshikia miguu wakati anawala? nimechukia kwasababu kipindi kinani husu moja kwa moja ..ukome kabisa!

Mpotezee huyo lofa, nshamshtukia anatafuta bw.an.a humu jukwaani.
 
we nawe kweli mburula. Ina maana mafundisho kwenye skonga huyaoni au nd'o ulkosa cha kuandika?
 
Muuza Sura Vs Chilli
Mi ntakua Howard Web ......

Ntake radhi mkuu!utanifananishaje na mtoto wa kike?mimi star wewe huwezi kunifanisha na hako kademu tena local!mimi nanukia hiko kidada njiti sijui kinanuka!...katashindana na mimi humu ila siyo katika maisha ya kawaida ya ukweli!.. Maprosoo
 
Last edited by a moderator:

dah! mwonee huruma kachokoza halafu kala kona!! .......
 
Tulia mamaa tena utulie tuli.
Mi siezi jilinganisha na mabwa.bwa hata siku moja, levo zako nenda Jahazi utawakuta. Eti staa, ha ha ha ha ha ha ha labda staa wa kutoa kiboga, kwi kwi kwi kwi kwi. Hapo kwa kushindana kunukia simo, ntakupambanisha na Bi Mkubwa Hadija Kopa.
Kuhusu maisha ya kawaida we hauna ubavu wa kusimama na mimi, ujanja wako nyuma ya kibod tu. Kwanza shule huna lofa mkubwa.
 
Last edited by a moderator:
dah! mwonee huruma kachokoza halafu kala kona!! .......

Maprosoo mi iko bize najenga taifa, acha huyo lofa anaesubiri kunenepeshwa na hela za Waarabu arukeruke kama ndege kwenye ulimbo.
Namfundisha maisha huyu bwana mdogo, siyo ashinde hapa jukwaani kupondea watu wakati kesho yake inaamuliwa na Waarabu.
 
wapenzi wa vipindi vya rusha roho utawagundua tu.Huwa ingekuaje if these guys could meet face 2 face?
 
Back
Top Bottom