Hivi Hata Kina Dada Huwa Mnaambiana

Since when mambo ya chumbani yakawa tangazo? Hao wanaofanya hivyo basi lazima waliruka stage flani ya ukuaji..

watu wanaotoa siri ya mapenzi tena kwa kuwataja wapenzi wao huwa tunawaita Malaya, siyo wapenzi. Mfano mi niseme Amyner anakata kiuno, or mara analia utadhani sijui nini, zitakuwa hazinitoshi labda, ama ni Malaya na simheshimu hata huyo mpenzi wangu.
 
Naomba kujua kama hizi tabia tulizonazo sisi kina kaka pia kina dada nao huwa nao huwa wanaambianaga, kwa mfano utakuta vijana huwa wanaambianaga kua aisee yule demu anajua majambozi au yule aisee anajua hiki na kile kwenye ulingo wa mapenzi, je kina dada huwa pia mnaambianaga kua aisee yule jamaa ni mkali kwenye majambozi au hiki na kile kwenye sekta ya malovee? Nawasilisha.


Huyo unayem discuss na wenzio ni changu au mpenzi/mkeo?
Wanawake hatusifii wanaume zetu kwa wanawake wenzetu.Ni ushamba na ujinga na utovu wa maadili.
 
Ushamba na ulimbukeni huo!!

Kujibu swali lako wapo wanaoongea sana, bila kujali anamwambia mwanamke mwenzake au mwanaume. Tena sio anasifia kiviiiile ila anaponda kinamna. Kuna dada mmoja hua nikimfikiria nachoka, yani anaongea mpaka anapitiliza kuongea.

Kumbe mna akili, sio ukitegwa kidogo unafunguka
 
Back
Top Bottom