Hivi Diamond na Jokate wanaendana? With regard na CV zao?

Diamond amepata vimilioni kadhaa havizidi 30,kwasababu Joketi ni mzuri lazima wazitumie wote ziishe ili historia iandikwe.
Demu mzuri asiyejiheshimu huendana na mwanaume mpuuzi aliyekamata hela za msimu.So CV zao zinaendana usijali kamanda.

No 2ache roho mbaya dogo ana mawe! Sema nn angetafuta dem ambeye si maharufu nazani ingekuwa poa sn kwake!
 
Hawaendani hata kidogo. Jokate kajidhalilisha sana.

Hawaendani kivipi kwani huyo Jokate ana ubabkubwa gani mbona demu wa kawaida sana kwenye watoto wakali wa mjini anatumwa sokoni tu.
 
Diamond wanasema ana hela ana hela,hela yenyewe hela gani? Ndio kwa mara ya kwanza naona tajiri anatembelea opa khaaaaaaaa,ebu mcheck hasheem Vogue,ebu mcheck mwanaFA benz hao wamechemsha je huyu mwenye opa hataweza??

Wewe ni mtoto au mshamba?
 
Ni kweli kuuliza sio ujinga ILA WEWE NI MJINGA NA SWALI LAKO NI LA KIJINGA KAMA WEWE ULIVYO MJINGA.
 
Hawaendani hata kidogo. Jokate kajidhalilisha sana.

Akili zako na za mtoa mada zimefanana, kwa bahati mbaya nilimuita mjinga kwa sababu ya swali la kijinga alilouliza ila na wewe ni mjinga.
 
Haya wakubwa ni swali 2 cyo ugomvi, manake naona wengne wanataka kunimeza hpa


....familia nyingi saivi zinaishi kupitia huyu Diamond.... Na haziko tayari mtu anayewawekea ugali mezani adhalilishwe hovyo..... So take care ...hawapendi boss wao adhalilishwe hovyohovyo.
 
Who cares??watajijuu,sisi tunasubiri siku wakiachana waanze kurushiana maneno kwenye media..
 
....familia nyingi saivi zinaishi kupitia huyu Diamond.... Na haziko tayari mtu anayewawekea ugali mezani adhalilishwe hovyo..... So take care ...hawapendi boss wao adhalilishwe hovyohovyo.

Nawe mmoja wao nn?
 
jamani waacheni wenzenu,mapenzi yao hayawahusu.awe na pesa acwenazo,wanaendana ama hawaendi hilo pia haliwahusu,mtoa mada pengine hata wewe na wako hamuendani...awe anapendwa ama anachunwa hilo halikuhusu jaman fuata yako yao waachie khaaa ya nini kuwasakama jamani?
 
Back
Top Bottom