Hivi Diamond na Jokate wanaendana? With regard na CV zao?

Nasieku

Member
May 4, 2012
14
0
Kuuliza cyo ujnga jaman ni kwli kwmb Diamond n Jokate are matching? Au hao mabnt wanajitoa ufahamu wamsaidie kula hzo pesa thn waondoke? Its realy unusual!
 
Nyie nanyi mnahangaika. . .
Wao washaamua wanafaana, wewe ukiamua kinyume na hapo itakusaidia/itawasaidia nini?
 
Jokate ni Tapeli tu,ameshindwa kuishi na Hashim Thabeet,amechemsha na mzee Mengi,Diamond ana pesa kama hawa wawili so atanyolewa tu,Jokate na Diamond muda si mrefu kitawaka tu yetu macho
 
mapenzi na cv ya mtu ni vitu viwili tofauti.Jk na salma cv zao zinaendana?mapenzi hayana shule,dini wala kabila mapenzi ni ya moyo.
 
Jokate ni Tapeli tu,ameshindwa kuishi na Hashim Thabeet,amechemsha na mzee Mengi,Diamond ana pesa kama hawa wawili so atanyolewa tu,Jokate na Diamond muda si mrefu kitawaka tu yetu macho

surely ni muhuni tu na anachoniudhi zaidi ni kujifanya mtu wa maadili, eti ameokoka,embu aache upumbavu wake na kuchafua imani za wengine kama amekuwa mpuuzi aendelea na upuuzi wake hana legacy yeyote kwenye jamii japo anajitahidi kuifanya jamii imuone hivyo na akisaidiwa na watangazaji uchwala kama spw.kama mwenye kujiheshimu angeolewa na kujenga familia bora, wema japo hafai lakini emekuwa genuine hataki kuji-pretend anaishi maisha yake halisi na wote wanamjua uchafu wake kwahiyo kama ukiamua kumfuata basi hiyo ni kivyako yuko wazi siyo jokate a silent killer
 
Kuuliza cyo ujnga jaman ni kwli kwmb Diamond n Jokate are matching? Au hao mabnt wanajitoa ufahamu wamsaidie kula hzo pesa thn waondoke? Its realy unusual!

tupia CV za dadako au zako kama wewe ni demu niziangalie kama zinakidhi Diamond aambiwe akurukie wewe!
 
Diamond wanasema ana hela ana hela,hela yenyewe hela gani? Ndio kwa mara ya kwanza naona tajiri anatembelea opa khaaaaaaaa,ebu mcheck hasheem Vogue,ebu mcheck mwanaFA benz hao wamechemsha je huyu mwenye opa hataweza??
 
Diamond amepata vimilioni kadhaa havizidi 30,kwasababu Joketi ni mzuri lazima wazitumie wote ziishe ili historia iandikwe.
Demu mzuri asiyejiheshimu huendana na mwanaume mpuuzi aliyekamata hela za msimu.So CV zao zinaendana usijali kamanda.
 
Mwakalinga ndauli? well uko sahihi kabisa,tusitegemee lolote kwenye haya mahusiano ya mpuuzi mmoja na malaya mmoja kwa upande mwingine
 
jamaini mbona inakuwa ngumu kuelewa! unaambiwa huyo diamond ana kimguu cha mtoto ambacho wada wakigusa tu kosa, na kosa la wadada kusimuliana, kwahiyo wote wanataka kuonja, i mean washkaji wa hao mademu! hakuna cha cv when it comes to maters concernig 6 by 6. unaambiwa jamaa ni NOUMER!
 
Jokate ni Tapeli tu,ameshindwa kuishi na Hashim Thabeet,amechemsha na mzee Mengi,Diamond ana pesa kama hawa wawili so atanyolewa tu,Jokate na Diamond muda si mrefu kitawaka tu yetu macho

Jamani c nasikia mzee wetu meng* kaungua,sa itakuwaje huyu mdogo wetu aliyejiweka hapo?
 
Back
Top Bottom