Hivi Dar hakuna huduma ya Cable TV kama ilivyo Arusha, Moshi, Zanzibar etc?

consigliori

JF-Expert Member
Mar 29, 2010
392
89
Wadau, nikitembelea miji ya Arusha, Moshi na Zanzibar naona watu wanalipia cable TV na wanapata channel kibao za maana tu, hata English Premier league unaipata kiulaini kwa TZS10,000 tu. Niliwahi kusikia Dar maeneo ya City Centre ipo, je ni kweli? siye tunaoishi mbali na huko town, eg Kimara, Mbezi, Mbagala nk hatuwezi kupatiwa huduma hiyo?
 
Kuna hii ya kichina tunatumia hapa bongo mpaka mzee wangu anajua kutumia hiyo ngojea nitamuuliza inaitwaje. Manake mie na Tv ni mbali mbali, computer yangu nami damu damu
 
Oya huko sio kijijini kwenu KIAMBAKUMBE itawezekana kweli kuweka cable hizo kweli miundombinu itasumbua najua ktkt ya GG.
 
Zamani kipindi cha 90s kulikuwa na cable mimi nilikuwa nakaa maeneo ya muhimbil kalenga nilifungiwa hiyo kitu kutoka falcon electronocs nayo ya hukohuko muhimbili ila mtaa wa mindu. nilikuwa napata super sports ( namuona Tyson live and clear ) nikawa napata mnet na ni mda huohuo channel O ikaanzishwa. Kweli nilikuwa nafaidi sana nilikuwa narekodi madude ya hatari kutoka channel O na kuwapatia machizi wangu wa block 41 kinondoni(kipindi hicho natumia VHS/VCR long play). sasa basi DTV wakaja na viji-antenna vyao wakanunua rights za kutoka Multi-choice na kuhakikisha watu wanaosambaza cable net.... wapigwe marufuku. Wakuu tukaanza kupunguziwa baadhi ya channels na mwisho huduma zikafungwa.
 
Bukoba ,tunatumia cable services tunalipa 10,000 monthly tunapata channel 45,za bongo zote,kenya zote,uganda zote,superspot3 na 8,tenspot,africa magic swahili,HBO,STAR Movie,Discovery,sky news,aljazeera english na michannel kibaoo,Full kujiachia,kitu clean ile mbaya ! tena hapa hakuna mgao wa umeme ngoma inatoka UG 24/7
 
Mathias usimchongee huyo mhindi kwa DSTV, ni kosa watu wa cable kugawa hivo labda kama analipia kwa kila kaya anayofungia service hii. Ni gharama kubwa na hawawezi kwa bei ya shiling 10,000 anazowadai. Anafanya kwa wizi tu na ukithibitisha jambo hili unamtia matatani.
 
Hii service nikama digital tv yani nazani wachina wamechakachua hata mzee wangu anatumia hapa daa aliambiwa na rafiki yake sasa analip 9000tsh kwa mwezi na yeye anapata ch 35 za nyingine za kenya, bet, msnbc, na nazani kunayamichezo tupu pia na caneli nyingine za kiindi na nyingine za kichina. mambo yake yani mwake kama chaneli 10 hapo anapata bila chenga chenga na haitaji ungo wala nini.
 
Kwa sisi tunaokaa karibu karibu na city centre ie Kariakoo, Magomeni, Ilala na mitaa karibi na hiyo tunapata huduma ya Cable tv, tunalipia dola 90 kwa mwaka ie approx 150,000 na tunapata chanel kama mia hivi, ni huduma nzuri na hawa jamaa wanajitahidi, wapo J M MALL ghorofa ya kwanza,wanaitwa CTV,
 
mhhh hata mm niliwahi ona hii kipindi nasoma chuo huko arusha, iliitwa millan cable hivi bado wapo??
 
Back
Top Bottom