engmtolera
JF-Expert Member
- Oct 21, 2010
- 5,150
- 1,437
wana JF
Ni muda sasa tangu CCTV News ya china kuanzisha CCTV Africa ambayo makao makuu yake yapo Kenya,kituo hiki matangazo yake huanza saa mbili ya EA,Lakini chakushangaza tangu wameanza kurusha habari zao sijawahi ona wakitoa ama kutangaza habari za Tanzania,zaidi ya kutangaza habari za kenya,uganda,sudan,burundi,SA
Na kama utaona habari ya tanzania ujue ni kuhusu biashara tena upande wa madini.
nasema hivi kwa sababu kituo hiki ni cha KIMATAIFA kwa hiyo inawia rahisi sana kwa nchi husika kujitangaza,kama tunahitaji kulipia habari hizo basi ni vyema watanzania wanaotaka habari zifike mbari zaidi kuwasiliana na hawa watangazji wa kenya ili hata habari za tanzania tuwe tunaziona kupitia hii CCTV AFRIKA
nawasilisha