Hivi Bongo Hii Kitu Haiwezekani Kweli.........

The Finest

JF-Expert Member
Jul 14, 2010
21,605
6,082
STICKER.jpg

Wakitoa Sticker za hivi
 
CCM hawapendi kitu kama hiki, wao wanafrahia yale mabango ya "mradi huu unajengwa kwa hisani ya walipa kodi wa Japan"
Mpwa zile sticker za wiki ya nenda kwa usalama zingekuwa za namna hii hata trafiki akikusimamisha lazima afikirie mara mbili kwanza, unamwambia aisome
 
Zile ni miradi ya polisi buku 5 lakini kuipata mzee mbinde
 
Hii kitu inawezekana sana, sema tu sisi watz hatuna utamaduni wa kuhoji kodi zetu zinatumika vipi. Hebu fikiria Mkuu wa wilaya na shangingi la ml. 80 anatembelea shule ya msingi isiyo na madirisha wala milango, kodi badala ya kurekebisha shule inaishia kwenye gharama kubwa za magari ya kifahari na mafuta ya safari za wakubwa
 
Kweli Shelisheli maana tunavyohimizwa kulipa kodi sio jinsi zinavyotumika so sad aisee
 
ukienda kudai upatiwe TAX Clearance certificate utajuta unaweza kupewa kodi ya ajabu unajiuliza walikuwa wapi siku zote waiskudai hiyo kodi yote hiyo ni mianya ya r****wa.....bila kurekebisha mfumo mzima hii kitu ni ndoto.......na mabadiliko mojawapo ni kujua kodi zeetu zinafanya kazi gani au ndio 80% anasa 20% maendeleao
 
Back
Top Bottom