The Finest
JF-Expert Member
- Jul 14, 2010
- 21,605
- 6,072
Yes ukiishalipa kodi unabandika kwenye gari lako hiyo stickerThe Finest u have made my day, hakuna kinachoshindikana chini ya jua.
Yes ukiishalipa kodi unabandika kwenye gari lako hiyo sticker
Yes ukiishalipa kodi unabandika kwenye gari lako hiyo sticker
Mpwa zile sticker za wiki ya nenda kwa usalama zingekuwa za namna hii hata trafiki akikusimamisha lazima afikirie mara mbili kwanza, unamwambia aisomeCCM hawapendi kitu kama hiki, wao wanafrahia yale mabango ya "mradi huu unajengwa kwa hisani ya walipa kodi wa Japan"
Mpwa zile sticker za wiki ya nenda kwa usalama zingekuwa za namna hii hata trafiki akikusimamisha lazima afikirie mara mbili kwanza, unamwambia aisome
Mpwa zile sticker za wiki ya nenda kwa usalama zingekuwa za namna hii hata trafiki akikusimamisha lazima afikirie mara mbili kwanza, unamwambia aisome
CCM hawapendi kitu kama hiki, wao wanafrahia yale mabango ya "mradi huu unajengwa kwa hisani ya walipa kodi wa Japan"
Anaweza kuisoma na asielewe kimeandikwa nini.
Zile ni miradi ya polisi buku 5 lakini kuipata mzee mbinde
Hahahaha!!! Unautania trafiki zetu eheeeeeAnaweza kuisoma na asielewe kimeandikwa nini.
Kweli Shelisheli maana tunavyohimizwa kulipa kodi sio jinsi zinavyotumika so sad aiseeHii kitu inawezekana sana, sema tu sisi watz hatuna utamaduni wa kuhoji kodi zetu zinatumika vipi. Hebu fikiria Mkuu wa wilaya na shangingi la ml. 80 anatembelea shule ya msingi isiyo na madirisha wala milango, kodi badala ya kurekebisha shule inaishia kwenye gharama kubwa za magari ya kifahari na mafuta ya safari za wakubwa
Lol....walahi ningekuwa na sticker ya hivyo naibandika mbele ya kioo inakuwa peke yake zile zingine za insurance naziweka kioo cha nyumakwa nchi hii sahau labda tuzaliwe mara ya pili
Hahahaha!!! Unautania trafiki zetu eheeeee
kwa nchi hii sahau labda tuzaliwe mara ya pili
Kweli Shelisheli maana tunavyohimizwa kulipa kodi sio jinsi zinavyotumika so sad aisee