Hivi askari Polisi wa Tanzania hulipwa mshahara kiasi gani?

kuna jamaa angu ana degree ila hana cheo chochote, aliniambia kila mwezi ni 850,000/= kabla ya makato, na pia katikati ya mwezi wanapewa ration allowance ya 300,000/= ambayo haina makato yoyote.inspekta ambae hana degree analipwa 800,000/= kabla ya makato.
 
Kwa sababu sasa hivi wapo kwenye joint venture na ccm wamekuwa policcm na posho zao zimeongezeka maradufu.

Wale askari wa usalama barabarani wanalipwa na raia wenye makosa
 
400's kwa asiye na cheo.
Posho ya msosi 300, na kuna ka 200 pembeni.
Ila jeshi la police Tanzania suala la vyeo mtihani.
Watu 2 wa elimu moja waajiriwe mwingine police, mwingine Uhamiaji, fire au Magereza. Huyu atapanda hadi mara 2 yule aliyekwenda police atabaki palepale au kuambulia cheo kimoja mbele.
Wizara iangalie upya hili jambo.
Hiyo 200 na 300 ni kiasi gani?
 
kuna jamaa angu ana degree ila hana cheo chochote, aliniambia kila mwezi ni 850,000/= kabla ya makato, na pia katikati ya mwezi wanapewa ration allowance ya 300,000/= ambayo haina makato yoyote.inspekta ambae hana degree analipwa 800,000/= kabla ya makato.
Duh wawaongezee angalau ukiwa na degree waanze na 1.6M (Kama matutorial wa vyuo vikuu)
 
police ya Tanzania inajulikana malipo yao na Posho kwa askari wa dalaja la kati ni kuanzia laki 2.5 hadi laki 3.0. In short Tanzania police ndo inateseka sana na ukali wa maisha hawana fedha za kutosha kukidhi wenyewe na familia zao. POLICE TANZANIA WANA KHALI MBAYA.
Na huyu ndg yako traffick kusema anapata pesa nyingi hii ni simple tu kitengo cha traffic ni mabingwa kwa rushwa Tanzania.
NDUGU ZANGU WAJAMII FORUM, POLICE WANATESEKA NA MAISHA KAMA WATANZANIA WENGINE ILA KWA VILE WAMEAPA KATIKA KUTIMIZA MAJUKUMU YAO YA KIKAZI TUWAVUMILIE BURE NA TUENDELEE KUWAELIMISHA KUWA UFISADI UNAWETESA PIA. CCM NA SERA ZA KUTULIZA WAPINZANI KWA RUNGU LA POLICE. WATACHOKA NA WATASHINDWA KUTIMIZA MALENGO YAO YA KIUTAWALA.
VITA IMEKUWA KALI, ADUI (WA WATANZANIA NA MUNGU YAANI (CCM) ANAZITI KUPOTEZA UMAALUFU NA SIKU SI NYINGU NGUVU YA UMMA ITAIBUKA MSHINDI NA MKOMBOZI WA WANYONGE ( WATANGANYIKA)...
Kama wanateseka kwa mishahara kidogo mbona wengi wanavitambi?😂
 
Back
Top Bottom