Hivi askari Polisi wa Tanzania hulipwa mshahara kiasi gani?

wanafanya kazi yao... na isitoshe uaskari ni wito....

watu hawawezi wakaachwa wavunje sheria hivihivi sababu wapo wengi...
 
Sijui kiasi cha mshahara ila najua wana posho ya kila katikati ya mwezi. Ni ndogo tu. JK aliahidi kuwaboreshea,lakini ndo hivyo.Wengine wanaamua kuazimisha silaha kwa majambazi,wengine wanaingia fronti wenyewe!
 
police ya Tanzania inajulikana malipo yao na Posho kwa askari wa dalaja la kati ni kuanzia laki 2.5 hadi laki 3.0. In short Tanzania police ndo inateseka sana na ukali wa maisha hawana fedha za kutosha kukidhi wenyewe na familia zao. POLICE TANZANIA WANA KHALI MBAYA.
Na huyu ndg yako traffick kusema anapata pesa nyingi hii ni simple tu kitengo cha traffic ni mabingwa kwa rushwa Tanzania.
NDUGU ZANGU WAJAMII FORUM, POLICE WANATESEKA NA MAISHA KAMA WATANZANIA WENGINE ILA KWA VILE WAMEAPA KATIKA KUTIMIZA MAJUKUMU YAO YA KIKAZI TUWAVUMILIE BURE NA TUENDELEE KUWAELIMISHA KUWA UFISADI UNAWETESA PIA. CCM NA SERA ZA KUTULIZA WAPINZANI KWA RUNGU LA POLICE. WATACHOKA NA WATASHINDWA KUTIMIZA MALENGO YAO YA KIUTAWALA.
VITA IMEKUWA KALI, ADUI (WA WATANZANIA NA MUNGU YAANI (CCM) ANAZITI KUPOTEZA UMAALUFU NA SIKU SI NYINGU NGUVU YA UMMA ITAIBUKA MSHINDI NA MKOMBOZI WA WANYONGE ( WATANGANYIKA)...
 
pia makazi mengi ya polisi kwa maana ya kota wanazoishi sio mazuri. ni watu muhimu ktk maisha yetu wananchi lakini maslahi wanayopata ni duni na pia uadilifu wao katika utumishi wao kwa wananchi sio mzuri.
 
mi nilijua ni ka milioni hivi manake wamejaa misifa hao utazani ndo hawana shida kumbe ndo mana wengine hata nguo za kubadilisha hawana wanashindia sare zao hata ikiwa hawapo zamu!

Udogo wa mshahara wao na adha mnazowapa nyie za kuandamana kila siku vinawapa hasira. Ndiyo maana wakikudaka unachezea heavy kipigo
 
Wangepewa nyingi wasingehangaika kudunda watu. But mshahara mdogo sana ndiyo maana wakikukamata utaeleza vizuri. Poleni Polisi ndiyo maisha.
 
police ya Tanzania inajulikana malipo yao na Posho kwa askari wa dalaja la kati ni kuanzia laki 2.5 hadi laki 3.0. In short Tanzania police ndo inateseka sana na ukali wa maisha hawana fedha za kutosha kukidhi wenyewe na familia zao. POLICE TANZANIA WANA KHALI MBAYA.
Na huyu ndg yako traffick kusema anapata pesa nyingi hii ni simple tu kitengo cha traffic ni mabingwa kwa rushwa Tanzania.
NDUGU ZANGU WAJAMII FORUM, POLICE WANATESEKA NA MAISHA KAMA WATANZANIA WENGINE ILA KWA VILE WAMEHAPA KTK KUTIMIZA MAJUKUMU YAO YA KIKAZI TUWAVUMILIE BURE NA TUENDELEE KUWAELIMISHA KUWA UFISADI UNAWETESA PIA.....CCM NA SERA ZA KUTULIZA WAPINZANI KWA RUNGU LA POLICE... WATACHOKA NA WATASHINDWA KUTIMIZA MALENGO YAO YA KIUTAWALA.
VITA IMEKUWA KALI, ADUI (WA WATANZANIA NA MUNGU YAANI (CCM) ANAZITI KUPOTEZA UMAALUFU NA SIKU SI NYINGU NGUVU YA UMMA ITAIBUKA MSHINDI NA MKOMBOZI WA WANYONGE ( WATANGANYIKA)...

hapo umenena mk8
 
Hao ni kama mbwa koko tu,wanaambulia makombo tu. Mabosi wao wanautumiwa na CCM ndiyo wanavuta hela ndefu na marupurupu kibao toka kwa mafisadi.
Mkuu hayo ni matusi sasa,..kiukweli Tanzania huwa tunatanguliza mambo flani sio ya msingi lakini tunayakomalia kweli,.. ukitazama sensitivity ya kazi hizi utaona wale wenye majukumu mazito ndio hawathaminiwi kabisa huku wasio na maana wakipewa kila kitu,..mifano mizuri tu ni polisi, walimu, wahudumu wa afya kwa ujumla wao hawana chochote cha kujivunia licha ya umuhimu wa huduma zao, upande wa pili wanaoifaidi nchi ni wasiokuwa na michango ya maana kama vile wabunge, wana-bodi wa mashirika yanayofilisika kila siku kama nssf na ppf na air Tanzania, ukiangalia polisi, kiukweli nao wanatumika vibaya na hayo matumizi yamewajengea uhasama na raia wanaowalinda kiasi cha kuwa na chuki kubwa na hii inataka viongozi makini kupewa jukumu la kuongoza nchi na watu wake.
 
kweli tanzania hamna kitu yaan na marais wote waliopita hawajawah kuliona hili?halfu et viongoz wanajifanyaga kuwasifia sifia ujinga tu
 
Back
Top Bottom